Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II Job at Mbinga Town Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1549 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Mbinga Town Council

Deadline of this Job:
22 October 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Mbinga , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, October 13, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
UTANGULIZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga baada ya kupokea kibali cha ajira Mbadala chenye Kumb Na. FA.170/367/01"A"/ cha tarehe 5 Agosti, 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Na Utawala Bora, anawatangazia wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa zinazohitajika kuomba nafasi wazi Mbili (2) kama zifuatazo: .

KAZI NA MAJUKUMU
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu /nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika
• makundi kulingana na somo husika (Classification and boxing) kwa aajili ya matumizi ya kiofisi.
• Kuweka/Kupanga kumbukumbu/nyaraka katka reki (File racks) katika masijala/ vyumba vya kuhifadhia Kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (Barua, nyaraka n.k) katika Mafaili
• Kushughulikia maombi ya Kumbukumbu/Nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
• Atawajibika kwa Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa waliohitimu kidato cha nne au cha sita na waliohudhuria mafunzo ya Astashahada/Cheti NTA LEVEL 5 ya utunzaji wa Kumbukumbu katika moja ya fani zifuatazo: Afya, Masijala, Mahakama na Ardhi kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA Kwa kuzingatia Viwango vya Mishahara ya Serikali Ngazi ya Mshahara itakuwa TGS B.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAELEZO/ MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania ambaye ana umri si zaidi ya Miaka 45 na sio pungufu ya Miaka 18
• Barua iambatanishwe na Wasifu binafsi wa mwombaji wa hivi karibuni (Curriculum Vitae) anuani inayotumika, namba ya simu na anuani ya barua pepe (e-mail address) na majina ya wadhamini (referees) watatu wanaofahamika.
• Waombaji lazima waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vili
• onyeshwa kwenye nafasi aliyoomba:- Mfano
a) Astashahada/cheti cha utaalamu kulingana na sifa za nafasi husika
b) Cheti cha kidato cha nne au sita
c) Cheti cha kuzaliwa
• Matokeo ya muda (provisional/testimonials/statement of results) havitakubaliwa.
• Waombaji wawe wenye sifa na uzoefu uliotajwa kwenye tangazo hili la kazi
• Picha 2 ndogo (passport size) za hivi karibuni.waombaji watakaoleta maombi na vyeti vya kugushi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
• Waombaji wa makundi maalum wanashawishiwa kuomba
• Waombaji wenye vyeti vya kidato cha nne na sita vya nje ya nchi vitatakiwa vithibitishwe na NACTE.
• Waombaji wenye vyeti vya Astashahada na Diploma vya nje ya nchi vithibitishwe na NACTE. • Barua ya muombaji itatakiwa iandikwe kwa Kiswahili au kiingereza
• Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta.
• Barua zitakazoletwa mkononi hazitapokelewa wala kufanyiwa kazi.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 22/10/2020 Saa 9:30 Alasiri. Maombi yote yatumwe kwa:
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji wa Mbinga,
S. L. P. 135,
MBINGA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 22 October 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 13-10-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 13-10-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 13-10-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.