Vacancy title:
Msaidizi wa Kumbukumbu II
Jobs at:
Tandahimba District CouncilDeadline of this Job:
08 February 2021
Summary
Date Posted: Thursday, January 28, 2021 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Tandahimba anawatangazia waombaji wote ya kazi kwa nafasi ziliyoainishwa hapa chini, baada ya kupata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na FA. 170/362/01/"A"/114 cha tarehe 15 Disemba 2020, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu ajira mpya. Hivyo basi Mkurugenzi Mtendaji (W) Tandahimba anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa .
Majukumu:
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili.
• Kudhibiti upokeaji, na uandikishaji wa kumbukumbu au nyaraka.
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/ mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
• Kuweka na kupanga kumbukumbu au nyaraka katika reki (file racks/cabinet) katika • masjala/ vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi
• kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Job Skills: Not Specified
Sifa za Mwombaji:
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.
• Awe na Elimu ya kidato cha Nne (IV) au cha Sita (VI).
• Awe na cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za masjala, Mahakama au Ardhi.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Education Experience: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA YA MWOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na miaka kuanzia 18 hadi 45.
• Mwombaji mwenye cheti cha kughushi asijaribu kuomba nafasi hizi, endapo atabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
• Awe hajawahi kufukuzwa kazi, kupunguzwa, kuachishwa kazi au kustaafishwa kazi katika Utumishi wa Umma.
• Awe tayari kufanya kazi katika kijiji chochote kile ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tandahimba.
• Waombaji waambatanishe vivuli vya vyeti vyao vya shule, taaluma, kuzaliwa. • Curriculum Vitae (CV)
• Taarifa binafsi za mwombaji
• Kila mwombaji aambatanishe na picha ndogo 2 passport size zilizopigwa hivi karibuni.
• Kila mwombaji aandike kwa usahihi anwani yake, na namba ya simu inayopatikana muda wote.
NUKUU: Maombi yote yatumwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P. 03,
TANDAHIMBA - MTWARA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 08 Feburari, 2021 saa 9.30 Alasiri.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.