Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II Job at Busokelo District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1507 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Busokelo District Council

Deadline of this Job:
09 December 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, November 27, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi mtendajiwa Halmashauri ya wilaya ya Busokelo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika halmashauri ya wilaya ya Busokelo kuomba nafasi ifuatayo:
Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II .

KAZI NA MAJUKUMU:
• Kutafuta kumbukumbu lnyarakalmafaili yanayohitajika na wasomaji.
• Kudhibiti upokeaji uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka kuchambua,
• kuorodhesha na kupanga kumbukumbu /nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (c/assffication and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
• Kuweka/kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika reki (file racks/c*inefs) katika masjala/nyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (barua/ nyaraka nk) katika mafaili.
• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka taasisi za serikari.


Job Skills: Not Specified


SIFA:
Awe na elimu ya kidato lV au Vl na mwenye cheti cha cha utunzaji kumbukumbu.


Job Education Requirements: Not Specified


NGAZI YA MSHAHARA TGS B


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania ambaye ana umri si zaidiya miaka 45
• Barua ya maombi iambatane na wasifu binafsiwa mwombajiwa hivi karibuni (curriculum vitae).
• Barua ya maombi iambatanishwe na nakala ya vivulivya vyeti vya kidato cha lV,Vt,cheti cha kuzaliwa na vyetivingine vya taaluma.
• Picha mbili ndogo (passporf size) za hivi karibuni.
• Matokeo ya muda (provision/testimonials/statement of results) havitapokelewa.
• waombajiwenye vyeti vya kidato cha nne na sita waliosoma nje ya nchi wanatakiwa kuwasilisha uthibitisho wa NECTA.
• Waombaji wenye vyeti vyeti vya Astashahada/ cheti vya nje ya nchi wanatakiwa kuambatanisha uthibitisho wa NACTE.
• Barua ya maombi iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza.
• Mwisho wa kupokea maombi ni O9t12t2O2O.
Barua zote zitumwe kwa
Mkurugenzi mtendaji
Halmashauri ya wilaya ya Busokelo,
S.L.P 2,
TUKUYU.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 09 December 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 27-11-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 27-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 27-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.