Msimamizi wa Utawala Job at Ebenezer Television - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1801 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Msimamizi wa Utawala

[ Type: FULL TIME , Industry: Media , Category: Management ]

 

Jobs at:

Ebenezer Television

Deadline of this Job:
12 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, February 05, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Ebenezer Television ni kituo kipya cha habari ambacho kinatarajia kuanza kurusha matangazo yake kutokea Mikocheni Dar es Salaam. Kituo kinahitaji wafanyakazi katika Nyanja zifauatazo; .

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified


Qualifications,
• Awe na elimu ya shahada ya awali katika Uongozi yaani (Public Administration, Leadership and Governance.
• Mwenye ujuzi wa habari na Mawasiliano atapewa kipaumbele
• Awe amelelewa katika maadili ya dini ya KIKRISTO
• Awe tayari kufanya kazi nyingine zinazoendana na nafasi hyo
• Awe na uwezo wa kufanya tathmini ya wafanyakazi waliopo na kushauri Uongozi njia bora ya kuboresha.
• Uzoefu wa miaka miwili katika nafasi kama hyo


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaliyo ambatanishwa na nakala za vyeti na CV yatumwe kwa;
Mratibu wa Mradi - Ebenezer Television
S.L.P 4067
Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Dar es Salaam.
AU
Kwa barua pepe ebztvtz@gmail.com  katika mfumo wa PDF na viambatanisho vyote viwe katika nakala moja. Mwisho wa kutuma maombi ni February 12, 2020


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Communications/ Public Relations jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 12th February 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 05-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 05-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.