Mteknolojia II (Mionzi) Job at TAMISEMI - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1948 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mteknolojia II (Mionzi)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

TAMISEMI

Deadline of this Job:
5th August 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, July 26, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
  Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb Na. FA 97/128/01/”A’’/31 cha tarehe 12 Julai 2019 kwa ajili ya kuajiri watumishi 550 wa kada mbalimbali za afya. Hivyo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI inapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kada za Afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia leo tarehe 22/07/2019 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati.
Nafasi zinazotangazwa ni zifuatazo: - Mteknolojia II (Mionzi).

Waombaji wawe na Stashahada (Diploma) ya Sayansi ya Mionzi ya muda wa miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa na Mabaraza ya Taaluma.


SIFA ZA MWOMBAJI;
• Awe raia wa Tanzania;
• Awe na umri usiozidi miaka 45;
• Asiwe Mwajiriwa wa Serikali au asiwe Mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na Serikali;
• Asiwe amewahi kuajiriwa Serikalini;
• Asiwe na check namba, na endapo itabainika kuwa aliwahi kuajiriwa Serikalini, atatakiwa kuzingatia utaratibu wa uhamisho au kurejea katika Utumishi wa Umma baada ya kuacha kazi kama ilivyobainishwa kwenye Waraka Na. CCB 228/271/01 wa tarehe 07 Agost, 2012.

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified


MAOMBI YOTE YAAMBATANISHWE NA;
• Nakala ya cheti cha kidato cha nne/sita;
• Nakala za Vyeti vya Taaluma;
• Nakala ya cheti cha kuzaliwa;
• Nakala ya cheti cha usajili kamili (Full Registration) au Leseni ya kufanya kazi ya taaluma husika;
• Maelezo binafsi (CV); na
• Waombaji wanaojitolea na wale wanaomaliza muda wa ajira za mikataba kutoka kwa Wadau wa Maendeleo katika Sekta ya Afya wanatakiwa kuambatanisha barua za uthibitisho kutoka kwa Wakurugenzi wa Halmashauri husika.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI WOTE
• Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi Halmashauri yoyote watakayopangiwa;
• Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi na mashirika/taasisi zilizoingia ubia na Serikali;
• Waombaji waliosoma nje ya nchi wanatakiwa waambatanishe pamoja na equivalent certificate kutoka NECTA/NACTE/TCU; na
• Waombaji watakaotuma/waliotuma maombi yao ya kazi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hawapaswi kuomba nafasi hizi za kazi za Ofisi ya Rais, TAMISEMI.

 

{module 312}

Job application procedure
  Maombi yote yatumwe kwa njia ya mtandao (online) kupitia mfumo wa kielektroniki unaopatikana kupitia anuani ya www.ajira.tamisemi.go.tz .
Maombi yoyote yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kuletwa moja kwa moja Ofisini hayatafanyiwa kazi.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 Agosti, 2019 saa 9:30 alasiri.
Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu
www.tamisemi.go.tz
LIMETOLEWA NA:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais - TAMISEMI,
Mji wa Serikali – Mtumba,
S.L.P 1923,
DODOMA.
22 Julai, 2019


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 5th August 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 26-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 26-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 27-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.