Mtendaji Wa Kijiji III Job at Ulanga District - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1653 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mtendaji Wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Ulanga District

Deadline of this Job:
14 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Ulanga , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, March 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA KAZI
Kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na FA.170/361/01/193 cha tarehe 07 Februari, 2020, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga anawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo:-
Mtendaji Wa Kijiji III .

Majukumu ya Mtendaji wa Kijji Daraja la III
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa Utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji.
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishajI mali.
• Kiongozi wa Wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika Kijiji.
• Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Vijiji.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamazi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii, Hombolo Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
NGAZI YA MSHAHARA Kwa mujibu wa ngazi ya Mshahara wa Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
MASHARTI YA UJUMLA
• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi kwenye Kijiji chochote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga.
• Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 – 45.
• Mwombaji awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai au kufungwa jela.
• Maombi yaambatane na wasifu wa mwombajI CV.
• Maombi ya ambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha ndogo (Passport Size) ya hivi karibuni.
• Testimonial, Result Slip, Provisional Result, kiapo cha kuthibitisha umri wa kuzaliwa HAVITAKUBALIWA.
• Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
• Waombaji ambao walisoma nje ya nchi vyeti vyao vya Taaluma vifanyiwe ulinganifu na TCU na NECTA na majibu ya ulinganisho yaambatanishwe kwenye barua ya maombi ya kazi.
• Waombaji waliowahi kuacha kazi, kuachishwa kazi au kufukuzwa kazi hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama Ana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi cha kuajiriwa upya.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/03/2020 Saa tisa na nusu Alasiri.

Maombi yatumwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga,
S.L.P 22,
Mahenge/Ulanga
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA ULANGA
Tangazo hili pia linapatikana;-
Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
  www.Ulangadc.go.tz  


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 14th March 2020
Duty Station: Ulanga
Posted: 11-03-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 11-03-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-03-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.