Mtendaji wa Kijiji Job at Mafia District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1539 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mtendaji wa Kijiji

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Mafia District Council

Deadline of this Job:
04 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Mafia , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, October 22, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mafia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1) ya Mtendaji wa Kijiji. .

MAJUKUMU YA K AZI
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji;
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji;
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya kijiji;
• Kuratibu mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji;
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na taratibu za uendeshaji wa Serikali ya Kijiji;
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini, na kuongeza uzalishaji mali;
• Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika Kijiji;
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji;
• Mwenyekiti wa Kikao cha wataalamu waliopo katika Kijiji;
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
• Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji; pamoja na
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
Mhitimu wa Kidato cha Nne / Sita wenye Cheti/ Stashahada NTA Level 5 katika moja ya fani zifuatazo:
• Utawala
• Maendeleo ya Jamii
• Usimamizi wa Fedha
• Sayansi ya Sanaa na Sheria.
Wawe wamesoma vyuo vinavyotambulika na Serikali.
MSHAHARA: Mshahara unaanza na Ngazi ya TGS B.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 hadi 45.
• Mwombaji aambatanishe Cheti cha Kuzaliwa.
• Mwombaji ambae tayari ni Mtumishi wa Umma na amejipatia sifa za kuingilia katika Kada tofauti na alizonazo, lazima apitishe barua za maombi ya nafasi za kazi kwa Mwaajiri wake.
• Mwombaji aambatanishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya Wadhamini watatu (3) wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma na vyeti vya Kidato cha Nne/ Sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo Mbalimbali kwa kuzingatia kazi husika. Pia iambatishwe picha ndogo (Passport size) ya hivi karibuni iliyopigwa ndani ya miezi mitatu na iandikwe jina nyuma yake.
• Testimonal, provisional results, statement of results na hatia za matokeo ya kidato cha Nne na Sita (Form VI and Form IV results Slips) HAVITAKUBALIKA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimekaguliwa na kuthibitishwa na mamlaka husika (NACTE,NECTA,TCU).
• Waombaji waliostaafishwa/kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma hawataruhusiwa kuomba ispokuwa kama wana Kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
• Uwasilishaji wa Sifa na vyeti vya kughushi na ikabainika wahusika watachukuliwa hatua Stahiki za Kisheria.
• Maombi yaandikwe kwa mkono na muombaji kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
• Waombaji wote kwenye barua zao za maombi waandike namba za simu za uhakika kwa ajili ya mawasiliano.

Maombi yote yatumwe kupitia anuani ya posta kama ifuatavyo;-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Mafia,
S.L.P 85,
MAFIA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/11/2020 Saa 9:30 Alasiri.

Limetolewa na ;
E.C. MAPUNDA,
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA MAFIA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 04 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 22-10-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 22-10-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 22-10-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.