Vacancy title:
MthaminI II
Jobs at:
MERU District CouncilDeadline of this Job:
18 February 2021
Summary
Date Posted: Monday, February 08, 2021 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
NAFASI YA KUJITOLEA ILI KUPATA UZOEFU
Halmashauri ya Wilaya ya Meru ipo kwenye maandalizi ya kuanza zoezi la URASIMISHAJI wa Ardhi kwenye baadhi ya maeneo yaliyopo katika Halmashauri.
Ili kuweza kuwajengea uwezo na uzoefu wanafunzi waliomaliza vyuo Halmashauri inatoa nafasi kumi na nne (14) za kujitolea katika fani mbalimbali kama zilivyoainishwa hapa chini. Aidha, kazi hii haitakuwa na malipo ya mshahara. Posho zitalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali kwa siku ambazo Mhusika atakuwa amefanya kazi tu. Nafasi za kujitolea zinazotangazwa ni kama ifuatavyo: .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Sifa Zinazohitajika:-
Awe na Stashahada ya juu/Shahada ya “Land Management and Evaluation” kutoka katika chuo kinachotambulika Serikali.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Education Experience: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE AMBAYO NI LAZIMA KUZINGATIA
• Mwombaji ni lazima awe raia wa Tanzania
• Awe hajawahi kufungwa kwa makosa ya Jinai
• Awe hajawahi kufukuzwa au kupunguzwa kazi Serikalini
• Maombi ni lazima yaambatanishwe na vivuli vya vyeti vya Kuzaliwa, Kuhitimu Elimu ya Sekondari (Results SlipHazikubaliki) na vyuo vya mafunzo au Taaluma
• Maombi ni lazima yaambatanishwe na picha mbili za “passport size" za hivi karibuni
• Maombi ni lazima yaambatanishwe na wasifu “Curriculum Vitae” zenye mawasiliano ya uhakika, Anuani, Barua pepe na namba za simu
• Awe na Umri wa zaidi ya miaka 18 na usiozidi miaka 45 Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 18.02.2021 saa 09.30 Alasiri.
Pia maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Meru,
S. L. P 462 USA - RIVER
Tangazo hili pia linapatikana kwenye Tovuti ya Halmashauri www.merudc.go.tz na mbao za matangazo zilizopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.