Vacancy title:
Mtunza Kumbukumbu Msaidizi II
Jobs at:
Kigamboni Municipal CouncilDeadline of this Job:
22 August 2020
Summary
Date Posted: Wednesday, August 12, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini: .
Majukumu ya kazi:
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu /nyaraka
• Kuweka/ kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili
• Kushughulia maombi ya kumbukumbu/nyarka kutoka Taasisi za Serikali Ngazi ya mshahara ni TGS B.B.
Job Skills: Not Specified
Sifa za mwombaji:
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV) au cha sita (VI) waliohudhuria mafunzo ya Utunzaji wa Kumbukumbu na kupata cheti cha NTA LEVEL 5 katika moja wapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
Mwombaji awe na Umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela na kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
Waombaji waambatishe maelezo yao binafsi (CV)
Maombi yote yaambatane na nakala ya Vyeti vya Taaluma, vyeti vya kidato cha nne IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina nyuma.
Testimonials, provisional results, Statement of Results hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV and FORM VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika TCU na NACTE na taarifa ya uhakiki iambatishwe kwenye maombi
Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono 9. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 22/08/2020 sa 9:30 alasiri.
Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa Kigamboni,
S.L.P. 36009, KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.