Mwalimu wa masomo ya fizikia na hesabu (Physics and Mathematics). Job at St. Monica Wino Girls Secondary School - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1563 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mwalimu wa masomo ya fizikia na hesabu (Physics and Mathematics).

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Teachers & Education ]

Jobs at:

St. Monica Wino Girls Secondary School

Deadline of this Job:
07 October 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, September 29, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Shule ya Sekondari ya Wasichana Ya Mtakatifu Monika Wino inayomilikiwa na Masista wamisionari wa Kiagustino iliyopo katika Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya MADABA katika kijiji cha Wino inapenda kuwatangazia nafasi za kazi wahitimu wote wa mafunzo ya ualimu katika chuo chochote kilichosajiliwa na kutambulika kiserikali katika kozi ya ualimu ngazi ya sekondari (kidato cha kwanza hadi kidato cha nne) katika masomo ya; .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI;
• Awe ni mwalimu wa masomo husika katika ngazi ya stashahada au shahada ya ualimu wa secondary.
• Awe na uzoefu na ujuzi usiopungua mwaka mmoja kazini kutoka katika shule yoyote inayotambulika.
• Awe na uwezo wa kujenga na kuendeleza mahusiano mema kati yake na unzi, wafanyakazi na jamii itakayomzunguka.
• wo ni mwenye tabia na mwenendo unaokubalika katika maadili ya taaluma na ualimu


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI,
Maombi yatawasilishwa katika ofisi ya mkuu wa shule kwa anuani ya shule ya ST. MONICA WINO GIRLS SECONDARY SCHOOL, P.O. BOX 69, MADABA. Maombi hayo yatumwe kupitia barua pepe ya shule ( stmonicawino2019@gmail.com ) au kwa njia ya WhatsApp namba 0626799299
Barua ya maombi iambatane na vivuli vya vyeti vya kitaaluma, cheti chako cha kuzaliwa pamoja na wasifu wako (CV) kwenye mfumo wa pdf.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI; Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 07/10/2020 saa 10:00 jioni.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 07 October 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 29-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 29-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 29-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.