Nafasi Za Kazi Maofisa Mauzo Job at Global Publishers and General Enterprises Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1997 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Nafasi Za Kazi Maofisa Mauzo

[ Type: FULL TIME , Industry: Publishing , Category: Marketing, Sales and Service ]

 

Jobs at:

Global Publishers and General Enterprises Limited

Deadline of this Job:
30th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, July 24, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:

GLOBAL PUBLISHERS AND GENERAL ENTERPRISES LIMITED, ni kampuni ya uchapishaji magazeti na wamiliki wa Global TV, Global Radio na mitandao yake ya kijamii inayofuatiliwa na watu wengi. Kampuni inawatafuta MAOFISA MAUZO wenye uzoefu wa kutafuta masoko kwenye vyombo vya habari (Utafutaji wa Matangazo), mwenye ujuzi na sifa zifuatazo:: .

SIFA:
• VIJANA wanaotafutwa, wawe wameshawahi kufanya kazi kwenye vyombo vya habari idara ya matangazo au wawe wameshawahi kufanya kazi katika kampuni za Mawakala wa Utangazaji (Advertising Agency), kwa muda usiopungua miaka miwili.
• Vijana wanaotafutwa wawe na uwezo mkubwa wa kuongea na kuandika kwa ufasaha lugha ya Kiswahili na Kiingereza na wawe wanaishi Dar es Salaam.
• Tunakaribisha pia maombi ya watu wenye uzoefu na masuala ya matangazo kuomba kama FREELANCERS, ndani na nje ya Dar es salaam.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
MWISHO: Kama unafikiri unakidhi vipengele vyote vilivyoainishwa hapo juu, tuletee ofisini barua yako ya maombi ya kazi haraka, iliyoambatana na CV yako pamoja na vivuli vya vyeti vyako, kwa:
MENEJA MKUU, S.L.P 7534, DAR ES SALAAM Au wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Sinza Mori (Global Group House). Simu: 0715 288627. email: uwazihabari@gmail.com. Mwisho wa kupokea maombi ni 30 JULAI, 2019.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Sales jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th July 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 24-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 24-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 24-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.