Opportunity Job at Dar es Salaam City Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1985 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Opportunity job

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Dar es Salaam City Council

Deadline of this Job:
25th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, July 17, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
  Halmashauri ya jiji la dar es salaam
Tangazo la nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari wilaya ya ilala, temeke, kigamboni
Kinondoni na ubungo, ushuru wa mlangoni, usafi wa vyooni kituo cha mabasi ubungo na ushuru na usafi choo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wenye sifa, nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari wilaya ya Ilala, Temeke, Ubungo, Kigamboni na Kinondoni ushuru wa mlangoni, ushuru / usafi wa vyooni katika kituo cha mabasi Ubungo na Ushuru/Usafi choo cha Drimp. Kazi hi itakuwa ni ya Mkataba wa miezi mitatu na mshahara utalipwa kwa kuzingatia Sheria ya Ajira Cap. 300 Wage Order" 2013 ambao utakuwa kuanzia Sh 150,000/= kwa mwezi..

  SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na umri usiozidi miaka 60
• Awe na elimu ya darasa la Saba na kuendelea
• Awe na uwezo wa kutumia “Smart phone katika miamala ya malipo Awe na Uzoefu usiopungua miezi sita katika masuala ya kukusanya Ushuru.
• Awe mwadilifu na mwaminifu na awe hajawahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai


  MAELEKEZO YA JUMLA
• Waombaji waambatishe vivuli vya vyeti vya taaluma zao pamoja na cheti cha kuzaliwa
• Kila barua ya muombaji jambatishwe na picha mbili ndogo (Passport size) iliyopigwa siku za karibuni, anuani kamili ya makazi pamoja na namba ya simu.


Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified


Barua ya Maombi iambatishwe na:
• Barua kutoka kwa wadhamini wawili ambao ni watumishi wa Serikali zikiwa na picha “Pass port size" ya hivi karibuni, Anuani kamili ya makazi pamoja na namba zao za simu.
• Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa.
• Wasifu (CV):
Waombaji watakaokuwa "Shortlisted" watajulishwa kwa njia ya simu tarehe ya usaili.
Barua ya maombi ya kazi iletwe kwa njia ya mkono katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuanzia tarehe ya tangazo hili au kwa njia ya posta kupitia anuani tajwa hapo chini kuanzia saa mbili karnili (2:00) asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 25 Julai, 2019 saa 8:00 mchana.

 

{module 312}

Job application procedure
  Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Jiji,
Halmashauri ya Jiji, Ukumbi wa Jiji,
Barabara ya Morogoro,
S.L.P. 9084, 11882 -
DAR ES SALAAM
Tangazo hili pia linapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambayo ni www.dcc.go.tz


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 25th July 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 17-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 17-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 18-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.