Personal Secretary) Job at Ellen White School - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1574 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Personal Secretary)

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Ellen White School

Deadline of this Job:
28 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, September 18, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Ofisi ya Meneja wa shule ya Ellen White School Dodoma inapenda kuutangazia Umma kuwa, Shule imetoa nafasi za ajira kwa Walimu, Madereva, Wahasibu, Afisa Masoko na Makatibu Muhtasi kama ifuatavyo: .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


KATIBU MUHTASI (Personal Secretary)
Qualifications
. • Waombaji wawe na Elimu ya kidato cha Nne (IV) waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya uhazili na kupata cheti cha NTA Level 5
• Waombaji wawe wamefaulu somo la Hati Mkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
• Waombaji wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali na kupata cheti katika program za Microsoft Office, Internet, Email na Publisher.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
• Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45
• Waombaji wote waambatanishe vivuli vya cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha NIDA
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne au sita
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa hivi karibuni.
• Maombi yote yaandikwe kwa Lugha ya kiingereza.

N.B: Atakaewasilisha “Statement of Result” au “Progressive Report” maombi yake hayatazingatiwa.
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:- MENEJA WA SHULE SHULE YA ELLEN WHITE
S.L.P 3118 DODOMA.
Tarehe ya Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Septemba, 2020 muda wa saa za kazi.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 28 September 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 18-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 18-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 18-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.