Vacancy title:
Radio Manager
Jobs at:
Radio Global
Deadline of this Job:
25th January 2019
Summary
Date Posted: 17th January 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
SIFA
Anahitajika kijana wa mwenye umri wa kuanzia miaka 25 na mwenye elimu na uelewa wa kutosha katika masuala ya usimamizi na uendeshaji wa kituo cha redio cha burudani.
UMAHIRI
Awe na kiwango cha elimu kisichopungua Diploma ya Uandishi wa Habari na uzoefu wa kufanyakazi, katika nafasi ya uongozi, katika kituo cha radio usiopungua miaka mitatu. Awe na uzoefu wa kusimamia na kuongoza timu ya wafanyakazi wa chumba cha habari. Awe mfuatiliaji mzuri wa masuala ya burudani ya muziki, wa ndani na nje ya nchi.
MAJUKUMU
Kijana anayetafutwa atakuwa na jukumu la kusimamia na kuendesha kituo cha radio cha habari na burudani. Aidha, kijana huyo atakuwa na wajibu wa kubuni na kuandaa vipindi, kuunda timu ya watangazaji, waandishi, masoko na watu wa idara zingine za kuendesha kituo cha radio.
{module 312}
Job application procedure
Kama unadhani una sifa hizo zilizoainishwa hapo juu, na ni lazima uwe nazo, fika na CV yako katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Sinza, Barabara ya Mori, katika jengo la Global Group, Dar:
MENEJA MKUU
Global Group
S. L. P 7534
Dar es Salaam.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI JANUARI 25, 2019.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.