Real Estate Manager Job at Blue Mark Real Estate - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2076 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Real Estate Manager

[ Type: FULL TIME , Industry: Hospitality, and Tourism , Category: Finance, Insurance & Real Estate ]

 

Jobs at:

Blue Mark Real Estate

Deadline of this Job:
30th May 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: 6th May 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
BLUE MARK REAL ESTATE, kampuni ya kupangisha nyumba za kuishi pamoja na ofisi Kampuni inatafuta kijana wa kiume au wa kike mwenye elimu na sifa zifuatazo:
Aidha, awe mwenye umri wa kati ya miaka 25. 40, anayeishi Juni Dar es Salaam, muaminifu, mchapa kazi mwenye uelewa wa kutosha wa masuala ya Real Estate Awe tayari kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa na awe tayari kufanya kazi muda wa ziada. Awe anajua kuendesha pikipiki au gari. Mwisho Kama unafikiri khi vipengele vyote vilivyoainishwa hapo juu, tuletee ofisini barua yako ya maombi ya kazi haraka illyoambatana na CV yako pamoja na vivuli vya vyeti vyako, .

ELIMU:
Awe na elimu ya Chuo Kikuu na mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta na programu zote zinazohusiana na Real Estate


LUGHA Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa UFASAHA, Kingereza na Kiswahilii


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Job Responsibilities: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
MENEJA MKUU, SLP 74. DAR ES SALAAM
Wasilisha mwenyewe ofisi kwetu, Sinza Mor (Global Group House), Simu O71 288627. Mwisho wa kupokea
maombin May 30, 2019.


All Jobs

 

Job Info
Job Category: Management jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th May 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 06-05-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 06-05-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 06-05-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.