Saccos Manager Job at Tanzania Meteorological Authority (TMA) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1587 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Saccos Manager

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Management ]

Jobs at:

Tanzania Meteorological Authority (TMA)

Deadline of this Job:
27 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dodoma , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, August 25, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TMA SACCOS inapenda kuwatangazia Umma kuwa kwa sasa ina jaza nafasi za kazi zilizopo wazi kama ifuatavyo:
Meneja Wa Saccos .

Kazi na majukumu ya Meneja
• Kutekeleza na kuzingatia Sheria ya Vyama vya Ushirika na Kanuni zake, Sera ya Maendeleo ya Ushirika, Masharti haya, Kanuni na Sera mbalimbali zilizowekwa kwaajili ya kuongoza utekelezaji wa shughuli za chama.
• Kuhakikisha mifumo ya utendaji na utoaji taarifa ipo madhubuti na inawezesha mawasiliano.
• Kwa maelekezo ya wajumbe wa Bodi, kuandaa mpango mkakati, mpango biashara, bajeti ya mwaka na program za utekelezaji.
• Kuhakikisha malengo na shabaha za chama zinafikiwa.
• Kushughulikia masuala yote yanayowahusu watumishi, hususa ni mafunzo na uendelezaji wa rasilimali watu.
• Kwa maelekezo ya wajumbe wa Bodi, kukiwakilisha Chama katika shughuli na uingiaji wa mikataba.
• Kuhakikisha vitabu vya hesabu vinaandikwa na hesabu zinaandaliwa na kuwasilishwa kwa Wakaguzi kwa wakati.
• Kuhakikisha taarifa ya mapato na matumizi, mizania, na taarifa ya mikopo iliyochelewa zimeandaliwa kwa usahihi na wakati.
• Kutoa taarifa za menejimenti kwenye vikao vya Bodi ambazo zinaeleza hali ya kifedha ya Chama ikiainisha mizania, hesabu ya mapato na matumizi, taarifa ya mikopo iliyochelewa, bajeti ya mwaka, mwenendo wa chama na uwiano wake.
• Kuidhinisha matumizi yaliyoko kwenye makisio kwa viwango vilivyowekwa na Bodi na kutia saini kwenye nyaraka zinazoruhusu utoaji fedha za chama kwa kuzingatia ukomo ulioainishwa kwenye sera za chama.
• Kushirikiana na Bodi kupanga viwango stahiki vya riba, ada na gharama nyingine kwa bidhaa na huduma zitakazotolewa.
• Kushirikisha Bodi katika kubainisha dhamana zinazokubalika na zinazoweza kutumika kudhamini mikopo.
• Kuhakikisha kuwa kuna ukwasi wa kutosha kukidhi mahitaji ya mikopo, uchukuaji wa akiba na gharama za uendeshaji.
• Kusimamia ufunguwaji na uendeshwaji wa akaunti.
• Kutoa taarifa stahiki kwa mamlaka zinazohusika kwa muda muafaka.
• Kutekeleza mapendekezo yanayotolewa kwenye taarifa za Wakaguzi wa Ndani na wa Nje na taarifa za kiuchunguzi zinazotolewa na mamlaka husika.
• Kufanyakazi na majukumu mengine kadri ya maelekezo ya Bodi.


Job Skills: Not Specified


SIFA
• Awe na Stashahada au Shahada ya Uongozi,Masoko, Uhasibu,Usimamizia fedha, Uchumi au Biashara katika Chuo Kikuu kinachotambulika.
• Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu.
• Awe na uwezo wa kuandika na kuongea Kiswahili na kingereza kwa ufasaha.
• Awe na uwezo wa kujituma na kufanya kazi bila kutegemea mtu mwingine.
• Awe mbunifu katika uendelezaji wa shughuli za chama.
• Awe na uzoefu wa kuandaa na kusimamia mipango kazi ya taasisi ndogo za fedha
UMRI: Miaka isiyozidi 45
MKATABA: Utakuwa wa kipindi cha miaka mitatu mitatu.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Maombi yote yatumwe kwa Mwenyekiti wa chama, TMA SACCOS, P.O.BOX 4278, DODOMA au yatumwe kwa barua pepe: saccosstma@gmail.com 
Mwisho wa kupokea maombi: Ni tarehe 27/08/2020 saa 10:00 Jioni.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Management jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 27 August 2020
Duty Station: Dar Es Salaam
Posted: 25-08-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 25-08-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 25-08-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.