Special Secretary III Job at Kasulu Town Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1563 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Special Secretary III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Kasulu Town Council

Deadline of this Job:
17 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kasulu , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, September 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi.
Halmashauri ya Mji wa Kasulu inawatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo kutuma maombi ya nafasi za kazi kwa kuzingatia sifa,vigezo na maelekezo yaliyo katika tangazo hili. Katibu Mahsusi III .

Kazi za Kufanya:
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
• Kusaidia kupokea wageni, kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
• Kusaidia kutunza taarifa/Kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofannyia kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika
• Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wako majalada,nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini
• Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wako wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
• Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
• Kutekeleza kazi zozote utakazokuwa umepangiwa na msimamizi wako wa kazi.


Job Skills: Not Specified


Sifa za Mwombaji.
Awe na cheti cha Kidato cha Nne. Awe na Ufaulu wa mafunzo ya Uhazili kwa ngazi ya cheti cha Astashahada (Certificate) kutoka chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. iii. Awe hajawahi kuajiriwa Serikalini.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA. Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara kwa watumishi wa Umma TGS B.
Masharti ya kazi. Kazi ina masharti ya kudumu na malipo ya uzeeni.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAMBO YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI.
Muombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu.
Awe mwenye umri kati ya miaka 18 -45. 3. Barua za muombaji ziambatishwe na nakala za vyeti vya Elimu,Taaluma ,Cheti cha kuzaliwa na Picha mbili (2) za rangi (Passport size) za hivi karibuni.
Barua za maombi ziambatishwe na maelezo binafsi ya muombaji (CV).
Testmonials, "Provisonal Results" Statement of Results" hati za matokeo za kidato cha Nne na sita (Form IV and Form VI Results Slips)
HAVITAKUBALIWA.
Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)

Namna ya kuwasilisha maombi:
Barua ya maombi iandikwe kwa mkono na iambatishwe passport size.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17/09/2020 saa 9:30 Alasiri

Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji,
S.L.P 475
KASULU.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17 September 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 11-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 11-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.