Vacancy title:
Tabibu
Jobs at:
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Deadline of this Job:
17th December 2018
Duty Station:
Tanzania
Summary
Date Posted: 10th December 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time
JOB DETAILS:
Nafasi Mpya za Ajira na Mafunzo Jeshila Wananchi Tanzania (JWTZ) Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini Madaktari wa Binadamu na fani nyingine za Tiba. Nafasi hizo zinatolewa ili kuongeza idadi ya wataalamu wa tiba watakaotoa huduma za afya katika Hospitali zetu, vituo vya afya na Zahanati kulingana na mahitaji ya sasa na siku zijazo.
Watakao andikishwa Jeshini ni wale wenye taaluma zifuatazo:-
Tabibu – Clinical Assistant (Certificate).
SIFA ZA KUANDIKISHWA JESHINI NI ZIFUATAZO:-
Job application procedure
Wenye sifa tajwa na kuhitaji kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania waripoti katika Kambi ya Jenerali Abdallah Twalipo, Mgulani Dar es Salaam tarehe 17, Desemba, 2018 kuanzia saa 1.00 Asubuhi kwa usaili.
Waombaji wafike na vyeti halisi (Original Certificates) vya kuzaliwa na masomo pia wajitegemee kwa usafiri, chakula na malazi.
Aidha, watakaochaguliwa na kuandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali ya Jeshi na yatakayo waendeleza katika taaluma zao. Wakiwa Jeshini majukumu watakayopatiwa ni yale yatakayowapa changamoto na fursa nzuri za kutumia taaluma zao.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.