Vacancy title:
Udereva
Jobs at:
Nguvu Moja (SS)Deadline of this Job:
07 January 2021
Summary
Date Posted: Wednesday, December 30, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
TANGAZO LA KAZI
Nguvu Moja (SS) I (Kuwa Nasi - Yataka moyo) UJUMBE Kundi la ulinzi la Nguvu Moja Security Service linahitaji vijana wa kike na kiume waliofanya mafunzo ya JK1 (Operesheni Magufull 2016 - 2019 na Operesheni Mererani 2018 - 2020). Wastaafu wa Majeshi kutoka vyombo vya Ulinzi na Usalama watafikiriwa kuzingatia Umri na taaluma zao. Makomando Wastaafu kutok! Nguvu ya mapambano maalumu watapata upendeleo maalum. Wananchi wenye ujuzi adimu wa fani/taalu ma zilizo ainishwa chini watapata nafasi (ona aya - chini). .
(2) Udereva - Uzoefu wa kuendesha gari aina zote sio chini ya miaka miwili 2. Wahitimu wa Chuo cha Usafirishaji (NIT DSM). VETA na Vyuo vya Majeshi watapewa kipaumbele.
Job Skills: Not Specified
VIGEZO
- Mwombaji awe Mtanzania mwenye Afya Njema, Mwaminifu. Tabia njema, Hodari kazini. Elimu kuanzia sekondari hadi Chuo Kikuu.
MALIPO
- Kwa makubaliano yanayozingatia viwango vilivyowekwa na serikali.
KITUO CHA USAILI
Wenye sifa zilizotajwa wafike mtaa wa Yasser Arafat Oysterbay nyumba namba 06 kwa udahili (Interview) au wawasillane kwa namba za simu zifuatazo: 0735862315 au 0621760716. Barua pepe ni mojanguvuagmail.com)
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI: Tarehe ya mwisho kupokea maombi ni tarehe 07 January 2020.
TAHADHARI UTAPELI - Nguvu Moja haluzi ajira kwa fedha - Rushwa haikubaliki kabisa uonapo kitendo chochote cha rushwa toa taarifa moja kwa moja TAKUKURU simu Nambari: (026) 2322003/2322695 au kwa simu zetu namba 0735862315/0621760716.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.