Vacancy title:
Wakala wa Mauzo
Jobs at:
Mobisol
Deadline of this Job:
28th February 2019
Summary
Date Posted: 1st February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
WHAT THIS JOB IS ABOUT: Wakala wa Mauzo anatakiwa kutafuta wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mitambo ya sola. Anatakiwa kuhakikisha kuwa wateja hao kama watanunua kwa mkopo basi wana uwezo wa kuulipia mkopo ule mpaka ukamilike.
YOUR TASKS
• Kutafuta masoko ya kufanyia mauzo
• Kutafuta na kusajili wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mtambo.
• Kumfanyia usahili wa mkopo mteja aliyopo tayari kununua mtambo.
YOUR QUALIFICATIONS
• Uwe na elimu ya Diploma au zaidi
• Uwe na Umri usiopungua miaka 25
• Uwe tayari kuhamia sehemu nyingine
• Uwe mwenye kujituma
{module 312}
Job application procedure
DOWNLOAD PDF FILE HERE
Click Here to Apply
https://mobisol-jobs.personio.de/job/94664#apply
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.