mkuu wa shule Job at ELCT- ECD - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1801 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
mkuu wa shule

[ Type: FULL TIME , Industry: Nonprofit, and NGO , Category: Management ]

 

Jobs at:

ELCT- ECD

Deadline of this Job:
14 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, February 05, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Job summary Shule ya sekondari ya wasichana mkuza inatafuta mkuu wa shule haraka! .

MAELEZO JUU YA KAZI NA UWAJIBIKAJI • Atawajibika kwa Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii
• Atakuwa Mkuu wa Shule,
• Atakuwa Muwajibikaji na Mtendaji Mkuu kwa Mambo yote ya Shule na Katibu wa Bodi ya shule.
• Atatasimamia na kutekeleza Maagizo na Maelekezo ya Bodi, Dayosisi na Serikali.
• Atakuwa Muitishaji wa vikao vya Bodi, Walimu, Watumishi, na vingine vyote kwa mujibu wa Kanuni na Matakwa ya Madaraka yake.
• Atakuwa Msimamizi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Dayosisi.
• Atakuwa Mtafsiri na Msimamizi wa Utekelezaji wa Ndoto ya Dayosisi na ya Elimu Kitaifa.
• Atakuwa Mdhibiti Mkuu wa Mapato na Matumizi ya shule.
• Atakuwa kiungo kati ya Wazazi/Walezi, Wanafunzi, Walimu na Watumishi.
• Atakuwa Msimamizi wa Uandaaji na utekelezaji wa Mpango Mkakati wa shule.
• Atakuwa Msimamizi na Mboresheji wa Miundo mbinu ya shule.
• Atasimamia Maslahi ya Dayosisi wakati wote wa Utumishi wake.
• Atafanya kazi nyingine yoyote atakayoagizwa na Bodi au Mmiliki wa shule

TARATIBU ZA KUTUMA MAOMBI
• Maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya Taaluma
• Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14 Feb 2020


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe na Shahada ya kwanza ya Elimu au Shahada ya uzamili ya Elimu
• Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika nafasi ya Mkuu wa Shule/Makamu Mkuu wa Shule/Mwalimu wa Taaluma
• Awe na umri kuanzia miaka 40
• Awe ni Mwanamke


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAOMBI YATUMWE KWA:
KATIBU MKUU
KKKT : DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
Luther House Building,
P.O. Box 837,
DAR ES SALAAM.
Email: info@elctecd.org 


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Management jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 14th Februaary 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 05-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 05-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.