nafasi ya kazi ya Receptionist Job at Global Publishers and General Enterprises Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1997 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
nafasi ya kazi ya Receptionist

[ Type: FULL TIME , Industry: Publishing , Category: Customer service ]

 

Jobs at:

Global Publishers and General Enterprises Limited

Deadline of this Job:
30th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, July 24, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Global Group, kampuni mama ya Global Publishers, kampuni inayomiliki vyombo vya habari vya magazeti, televisheni na redio ina nafasi ya kazi ya RECEPTIONIST, mwenye elimu na sifa zifuatazo:: .

ELIMU: Anahitajika RECEPTIONIST mwenye Elimu ya A Level au Chuo Kikuu na mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta na programu zote za kiofisi.
Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa UFASAHA, lugha ya Kiingereza na Kiswahili

SIFA: Aidha, mtarajiwa awe kijana wa kike mwenye umri wa kati ya miaka 25 - 30, anayeishi jijini Dar es Salaam eneo la SINZA, MWENGE au KINONDONI, muaminifu, mchapa kazi mwenye uelewa wa kutosha wa masuala ya utawala wa kiofisi. Awe ameshawahi kufanya kazi za kiofisi katika kampuni yoyote kwa muda usiopungua mwaka mmoja.

Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Job Responsibilities: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
MWISHO: Kama unafikiri unakidhi vipengele vyote vilivyoainishwa hapo juu, tuletee ofisini barua yako ya maombi ya kazi haraka, iliyoambatana na CV yako pamoja na vivuli vya vyeti vyako, kwa:
MENEJA MKUU S.L.P 7534 DAR ES SALAAM
Wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Sinza Mori (Global Group, zamani Johannesburg Hotel). Simu: 0715 288627. Mwisho wa kupokea maombi ni JULAI 30, 2019.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Customer Service jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th July 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 24-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 24-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 24-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.