Vacancy title:
2 Mratibu wa Uandikishaji wa Mkoa
Jobs at:
National Electoral CommissionDeadline of this Job:
27th November 2019
Summary
Date Posted: Wednesday, November 27, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kufanya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Tanzania Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo. Kazi hizo ni zifuatazo: Mratibu wa Uandikishaji wa Mkoa (Nafasi moja Unguja na Nafasi moja Pemba) .
Majukumu:
• Kuratibu habari na taarifa mbalimbali za Uandikishaji.
• Kuratibu upatikanaji wa vifaa na nyenzo zinazohitajika katika kufanikisha Uandikishaji/Uboreshaji.
• Kuwa kiungo kati ya Tume, Watendaji wa shughuli za Uandikishaji katika Wilaya/Majimbo na Wadau.
• Kushirikiana na kushauriana na Maafisa Uandikishaji waliopo katika eneo lake
Job Skills: Not Specified
Sifa za Mratibu wa Uandikishaji:
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe Mtumishi wa Umma.
• Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote.
• Awe muadilifu na mwaminifu.
• Awe mkazi wa eneo husika (Pemba au Unguja)
• Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila ya kusimamiwa kwa karibu.
• Awe na uzoefu katika masuala ya Uandikishaji wa Wapiga Kura/Uchaguzi.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Kila Mwombaji katika nafasi husika aainishe nafasi anayoiomba akitaja Wilaya au Jimbo analotaka kufanyia kazi na aambatishe maelezo ya taarifa binafsi (CV). Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 27 Novemba, 2019.
Barua zote zielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
S. L. P. 10923, DAR ES SALAAM.
NB: Kwa urahisi maombi yote yatapokelewa Unguja - Ofisi ya ZEC - Maisara, Unguja. Pemba - Ofisi ndogo ya ZEC - Chakechake, Pemba..
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.