Agricultural Field Officers Job at CHAURU (LTD) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1851 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Agricultural Field Officers

[ Type: FULL TIME , Industry: Agriculture, Food, and Natural Resources , Category: Management ]

 

Jobs at:

CHAURU (LTD)

Deadline of this Job:
26th December 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, November 28, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
CHAURU (LTD) ni chama cha ushirika kilichosajiliwa kwa lengo la kuwaunganisha wakulima wadogowadogo wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga kwenye bonde la mto Ruvu.Aidha, Ushirika huu ilianzishwa tarehe 19, Oktoba 2002 kwa mujibu wa mahitaji ya sheria ya vyama vya ushirika na 6 ya 2013 ili kuboresha hali ya maisha ya wanachama, familia zao na taifa kwa ujumla.

Bodi ya chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) LTD inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za kazi kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili. .

  MAJUKUMU YA KAZI
• Kuwasimamia wakulima kutekeleza mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea , madawa na pembejeo za kilimo
• Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio
• Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti
• Kukusanya na kutunza takwimu za mazao
• Kukusanya takwimu za mvua
• Kushiriki katika savei za kilimo
• Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia
• Kupanga mipango ya uzalishaji
• Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi
• Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu
• Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea
• Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo
• Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji na
• Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na umri unaanzia miaka 18 hadi 35
• Awe hajawai kupatikana na kosa la jinai
• Awe amehitimu Kidato cha Nne (iv) au Kidato cha Sita (VI) mwenye cheti au stashahada mchepuo wa kilimo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
• Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 (uzoefu wa kufanya kazi kwenye shamba la umwagiliaji wa kilimo cha mpunga na vikundi/vyama vya ushirika itakuwa ni sifa ya nyongeza)

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania,
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa,
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
• Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
• “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na nyeti halisi siku ya usaili.
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapo chini.
MUHIMU: KUMBUKA KUAMBATISHA BARUA YAKO YA MAOMBI YA KAZI ILIYOANDIKWA KWA MKONO NA KUSAINIWA PAMOJA NA VYETI VYA ELIMU. ANUANI YA BARUA HIYO IELEKEZWE KWA:-
MWENYEKITI WA BODI
CHAMA CHA USHIRIKA WA WAKULIMA WA UMWAGILIAJI RUVU (CHAURU) LTD
S.L.P 12,
MLANDIZI-PWANI
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Decemba, 2019 Saa 9:00


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Environment, Forestry and Agriculture jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 26th December 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 28-11-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 28-11-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 29-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.