Vacancy title:
Secretary
Jobs at:
CHAURU (LTD)Deadline of this Job:
26th December 2019
Summary
Date Posted: Thursday, November 28, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
CHAURU (LTD) ni chama cha ushirika kilichosajiliwa kwa lengo la kuwaunganisha wakulima wadogowadogo wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga kwenye bonde la mto Ruvu.Aidha, Ushirika huu ilianzishwa tarehe 19, Oktoba 2002 kwa mujibu wa mahitaji ya sheria ya vyama vya ushirika na 6 ya 2013 ili kuboresha hali ya maisha ya wanachama, familia zao na taifa kwa ujumla.
Bodi ya chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU) LTD inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za kazi kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili. .
MAJUKUMU YA KAZI
• Kutunza kumbukumbu zote za ushirika,
• Kusajili barua zinazoingia, zinazotoka na kuratibu mzunguko faili.
• Kufungua jalada la barua na nyaraka zingine zilizopokelewa na kuhakikisha kwamba nyaraka zinamfikia mhusika kwa wakati kwa ajili ya utekelezaji.
• Kutatua matatizo ya wateja kwa kutambua chanzo , kuelezea suluhisho bora la kutatua tatizo na kufanya marekebisho pale inapohitajika,
• Kusimamia simu zinazoingia na barua pepe,
• Kufanya majukumu mengine yoyote yaliyotolewa na msimamizi
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na umri kuanzia miaka 25 nakuendelea.
• Awe amehitimu Kidato cha Nne (iv) au Kidato cha Sita (VI) mwenye cheti au stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu/nyaraka, uhasibu (Book-keeping&Commerce/ECA), Ushirika au sifa sawa kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
• Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa Kufanya kazi katika taasisi za kijamii (uzoefu wa kufanya kazi katika vyama vya ushirika itakuwa ni sifa ya nyongeza).
• Awe hajawai kupatikana na kosa la jinai
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania,
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa,
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
• Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
• “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na nyeti halisi siku ya usaili.
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapo chini.
MUHIMU: KUMBUKA KUAMBATISHA BARUA YAKO YA MAOMBI YA KAZI ILIYOANDIKWA KWA MKONO NA KUSAINIWA PAMOJA NA VYETI VYA ELIMU. ANUANI YA BARUA HIYO IELEKEZWE KWA:-
MWENYEKITI WA BODI
CHAMA CHA USHIRIKA WA WAKULIMA WA UMWAGILIAJI RUVU (CHAURU) LTD
S.L.P 12,
MLANDIZI-PWANI
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Decemba, 2019 Saa 9:00
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.