16 Muuguzi Daraja la pili Job at Mbalizi Hospital - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1830 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
16 Muuguzi Daraja la pili

[ Type: FULL TIME , Industry: Health Care , Category: Doctors & Other Health Professionals ]

 

Jobs at:

Mbalizi Hospital

Deadline of this Job:
10 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Mbeya , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Hospitali ya Mbalizi ni hospitali teule ya Wilaya ya Mbeya na inamilikiwa na Kanisa la Uinjilisti Tanzania iliyo na makao makuu yake katika mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya. Hospitali inatangaza nafasi za kazi kwa kada zifuatazo; .

  Kazi na Majukumu
• Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya
• Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake ya kazi
• Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani
• kutoa ushauri na saha
• Kusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
• Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango
• Kutoa huduma za na afya ya motto
• Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
• Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi
Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake


Job Skills: Not Specified


Sifa: Awe amehitimu Astashahada Uuguzi ya miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Wakunga Tanzania


Job Education Requirements: Not Specified


Namna ya kuomba
Maombi yote yaambatanishwe na;
• Maelezo binafsi (Curriculum vitae)
• Vyeti vilivyo thibitishwa (Certified Certificates)
• Cheti cha taaluma pamoja na cheti cha mafunzo kwa vitendo
• Lesseni
• Cheti cha sekondari (kidato cha iv na kidato cha vi)
• Cheti cha kuzaliwa
• Kitambulisho cha NIDA/ Namba ya NIDA
Mwombaji awe mtanzania asiye zidi umri wa miaka 45

 

{module 312}

Job application procedure
  Maombi yote yatumwe kwa; MGANGA MFAWIDHI HOSPITALI YA MBALIZI
S.L.P 6117
MBEYA.
Barua pepe: mbalizihospital@gmail.com  SIMU 0735542568
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/01/2020 saa 9:30 Alasiri


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th January 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 07-01-2020
No of Jobs: 16
Start Publishing: 07-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 08-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.