2 Dereva Job at Dar es Salaam Bus Rapid Transit (DART) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1805 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Dereva

[ Type: FULL TIME , Industry: Transportation, Distribution, and Logistics , Category: Transportation & Logistics ]

 

Jobs at:

Dar es Salaam Bus Rapid Transit (DART)

Deadline of this Job:
17 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, January 13, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
  Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka
Kumb Na: AB.134/358/01/16 03 Januari,2020
TANGAZO LA KAZI
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi wazi mbili (2) kwa kazi ya Dereva kama zilivyobainishwa katika tangazo hili..

  MAJUKUMU YA KAZI.
• Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
• Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
• Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,
• Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
• Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
• Kufanya usafi wa gari, na
Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake


Job Skills: Not Specified


  SIFA ZA MUOMBAJI.
• Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV,
• Leseni ya daraja ”C1’’ au “E” ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda wa mwaka mmoja bila kusababisha ajali,
• mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au chuo cha Usafirishaji (NIT).
• Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MASHARTI YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania,
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa,
• Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45,
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees)watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya kidato cha nne, pamoja na vyeti
• vingine kama ilivyoanishwa katika sifa za kazi hapo juu.
• Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na Baraza la Mitihani Tanzania – (NECTA).
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kwa: -
MTENDAJI MKUU,
WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA,
S.L.P 724,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17 Januari,2020
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika
tangazo hili


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17th January 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 13-01-2020
No of Jobs: 2
Start Publishing: 13-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.