2 Mtendaji Wa Kijiji Daraja III Job at Momba District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1514 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Mtendaji Wa Kijiji Daraja III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Momba District Council

Deadline of this Job:
17 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, November 10, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mamba anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa za kuajiriwa katika nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la Ill na Msaidizi wa Hesabu daraja la II. Tangazo hili linatokana na Kibali cha Ajira mbadala kilichotolewa kwa barua yenye Kumb. Na: FA.170/571/01/84 ya tarehe 21 Septemba 2020, kutoka kwa Katibu Mkuu OR- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. .

KAZI/ MAJUKUMU
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijij;
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na • Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji;
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji;
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji;
• Kutasfiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu za Serikali katika kijiji.
• Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya uondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji;
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji;
• Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji;
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
• Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji na
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI;
• Awe amehitimu Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Awe amehitimu mafunzo katika ngazi ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii, na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Mshahara; Ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS B.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
• Mwombaji awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai.
• Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vya taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nne/sita vilivyothibitishwa na Hakimu au Wakili anayetambulika na Serikali.
• Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed Curriculum Vitae) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini "referees" watatu (3) na picha mbili "passport size" za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma).
• Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, Hati za matokeo za kidato cha nne na sita (Form IV and VI Results Slips) na Transcript ambayo haikuambatanishwa na cheti havitakubaliwa.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vinahakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA, NACTE na NBAA).
• Waombaji ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe nafasi hizi.
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
• Waombaji watakaowasilishaji vyeti, taarifa na sifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria na mamlaka zinazohusika.
• Maombi yote yaandikwe kwa lug ha ya Kiswahili.
• 1Kwa waombaji wenye vyeti vya ngazi yaani NTA level 4, na level 6, maombi yao hayatafanyiwa kazi.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni siku ya Jumatatu, tarehe 17 Novemba 2020, saa 09: 30 Alasiri.
• Maombi yote yatumwe kwa njia ya pasta kupitia anuani ifuatayo;

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Momba,
S.L.P. 273,
TUNDUMA-MOMBA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 10-11-2020
No of Jobs: 2
Start Publishing: 10-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.