Kumb. Na. 10.207/327/03/50
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini unatangaza nafasi 54 za Ajira ya Mkataba wa kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: -
1.0. Daktari Bingwa Daraja la Il - (NAFASI 02)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uzamili ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
KAZI |
Daktari Bingwa |
MWAJIRI |
Hos itali a Rufaa Kanda a Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za matibabu ya Kibingwa. Kuchunguza, kufuati|ia na kuzuia milipuko ya magonjwa Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi. Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi. Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu uzoefu na u•uzi wake |
1.2 MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
2.0. Daktari Daraja la Il - (NAFASI 09)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA•. Kujitotea, Mkataba wa Mwaka 1
2.1 SIFA
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo VikuuNyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza mafunzo ya kazi"lnternship" ya muda usiopungua miezi kumi na miwili na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
KAZI |
Daktari |
MWAJIRI |
Hos itali a Rufaa Kanda a Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura. Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi. Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
2.2 MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
3.0. Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II — (NAFASI 08)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
KAZI |
Afisa Muuguzi Msaidizi |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMIJ |
Kutoa huduma za uuguzi Kukusanya takwimu muhimu za afya. Kuwaelekeza kazi wauguzi walio Chini yake Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya Kutoa huduma za kinga na uzazi Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
3.2 MSHAHARA NA "OSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
4.0. Mteknolojia Vifaa Tiba Daraja la Il - 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
4.1.
Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne na cheti cha ufundi cha mteknolojia Vifaa Tiba ngazi ya Stashahada (Diploma) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Mteknoloiia Vifaa Tiba Daraja la Il |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJI.JKUMU |
Kufanya kazi zote za fani ya vifaa tiba Kufanya kazi ya kutengeneza vifaa tiba Kuandaa mahitaji ya vifaa tiba vya hospitali Na majukumu mengine utakayopangiwa na Mkuu wako wa kazi |
4.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Urnma.
5.0. Mteknolojia Maabara Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
5.1. SIFA
Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne na cheti cha ufundi cha mteknolojia Maabara ngazi ya Stashahada (Diploma) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Mteknolo•ia Maabara |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za fani ya Maabara Kufanya kazi ya kuchukua sampuli za wagonjwa. Kupima sampuli na kurudisha majibu kwa daktari. Kuandaa mahitaji ya vitenganishi. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
5.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
6.0. Fundi Sanifu Umeme Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne na cheti cha ufundi Sanifu Umeme kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Fundi Sanifu Umeme |
||
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
||
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
||
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za fani ya umeme kwenye majengo yote ya Taasisi Kufanya kazi ya kutengeneza vifaa vya umeme. Kufanya usanifu miradi midogo ya umeme, kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya za umeme zinawekwa kwenye majengo yote ya Taasisi. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
||
6.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
7.0. Fundi Sanifu Viyoyozi (AC) Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
7.1. SFA
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne na cheti cha ufundi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Fundi Sanifu Kiyoyozi (AC |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za fani ya Viyoyozi katika Hospitali Kufanya kazi ya kutengeneza vifaa vya Viyoyozi na Majokofu. Kufanya usanifu miradi midogo ya ujenzi wa miundombinu ya hospitali, kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya za viyoyozi na majokofu yanayowekwa kwenye majengo yote ya Taasisi. Na majukumu mengine utakayopangiwa na Mkuu wako wa kazi. |
7.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne na cheti cha ufundi sanifu Bomba kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Fundi Sanifu Bomba |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKIJMU |
Kufanya kazi zote za fani ya bomba kwenye majengo yote ya Hospitali Kufanya kazi ya kutengeneza vifaa vya bomba. Kufanya usanifu miradi midogo ya maji pamoja na kuzibua mifumo ya maji taka. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
8.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
9.0. Msaidizi wa chumba cha Kuhifadhia Maiti - (NAFASI 02)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
9.1. SIFA
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliopata mafunzo ya Afya katika fani ya afya na utunzaji wa maiti
KAZI |
Msaidizi wa chumba cha kuhifadhia Maiti |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya usafi wa chumba cha kuhifadhia maiti Kupokea, kuosha na kutunza maiti. Kusaidia kufanya uchunguzi wa maiti Kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi. |
9.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
10.0. Msaidizi wa Chumba cha Kufulia (Dobi) — (NAFASI 01) KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
10.1. SIFA
Kuajiriwa mhitimu wa kidato cha nne aliyepata mafunzo ufuaji nguo
KAZI |
Kufua Nguo za Wagonjwa |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MI-IDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufua nguo za wagonjwa Kunyoosha nguo za wagonjwa Kukunja nguo za wagonjwa pamoja na kutunza vifaa na mashine Kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi. |
10.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
11.0. Msaidizi wa - (NAFASI 05)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
11.1. SIFA
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliopata mafunzo ya mwaka mmoja kaika fani ya Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Msaidizi wa Afya |
|||
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
|||
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
|||
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya usafi wa vifaa vya kazi, usafi wa wodi na mazingira Kusaidia wa on'wa wen e ulemavu na wasioÁ iweza |
|||
katika kwenda haja (kubwa na ndogo) na kuoga Kumsaidia kumlisha mgonjwa asiyejiweza Kuchukua nguo za mgonjwa kuzipeleka kwenda kufuliwa Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi. |
||||
11.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
12.0. Afisa Tehama Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
12.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye Shahada ya masomo ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta/ Mitandao/ Mawasiliano na Elektroniki au Matengenezo ya Mifurno ya TEHAMA kutoka kwenye Taasisi/Vyuo vinavyotarnbuliwa na Serikali.
KAZI |
Afisa Tehama |
|||
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
|||
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
|||
KAZI NA MAJUKUMU |
1. Sehemu ya miundombinu (Hardware and Networks): a) Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya TEHAMA na kurekebisha ipasavyo, b) Kufanya matengenezo TEHAMA, madogo madogo ya vifaa c) Kufanya matengenezo ya miundombinu ya TEHAMA, d) Kukagua na kutambua vifaa vinavyohitaji matengenezo. 2. Sehemu Mfumo ya Habari (Information Systems); a) Kufanya ukaguzi wa ubora wa programu- tumizi na mifumo ya habari, b) Kufanya marekebisho madogo madogo katika program - tumizi, c) Kuchukua hatua za kiusalama kulinda program - tumizi na mifumo ya habari, d) Kutoa huduma kwa watumiaji wa program - tumizi na mifumo a habari |
|||
e) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. |
||||
12.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
13.0. Afisa Tehama Msaidizi Daraja la Il - (NAFASI 02)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
13.1. SIFA
Kuajiriwa wenye Stashahada ya masomo ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta/ Mitandao/ Mawasiliano na Elektroniki au Matengenezo ya
Mifumo ya TEHAMA kutoka kwenye Taasisi/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
KAZI |
Afisa Tehama Msaidizi |
||
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
||
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
||
KAZI NA MAJUKUMU |
1. Sehemu ya miundombinu (Hardware and Networks): a) Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya TEHAMA na kurekebisha ipasavyo. b) Kufanya matengenezo TEHAMA, madogo madogo ya vifaa. c) Kufanya matengenezo ya miundombinu ya TEHAMA. d) Kuchukua hatua za kiusalama kulinda vifaa vya TEHAMA. e) Kukagua na kutambua vifaa vinavyohitaji matengenezo. f) Kutoa huduma kwa watumiaji wa vifaa vya TEHAMA, Kusimamia ukaguzi na ufungaji wa vifaa vipya vya TEHAMA. g) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. 2. Sehemu Mfumo ya Habari (Information Systems); a) Kufanya ukaguzi wa ubora wa programu- tumizi na mifumo a Habari. |
||
b) Kufanya marekebisho madogo madogo katika program — tumizi. c) Kuchukua hatua za kiusalama kulinda program - tumizi na mifumo ya Habari. d) Kutoa hudurna kwa watumiaji wa program - tumizi na mifumo ya Habari. e) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani ake. |
|||
13.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Urnma.
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
14.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye Shahada ya lishe kutoka Chuo kinacho tambuliwa na Serikali.
KAZI |
Afisa Lishe Il |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kuandaa bajeti ya chakula cha wagonjwa Kukagua na kupitia orodha ya wagonjwa wenye uhitaji wa chakula maalumu. Kutoa elimu kwa wagonjwa juu ya mlo kamili. Kushauri ndugu juu ya mlo kamili kwa ajili ya mgonjwa wao. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani ake |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Urnma.
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Uandishi wa Habari au sifa inayolingana nayo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Afisa Habari |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
• Kukusanya na kuandika Habari • Kupiga picha. Kuandaa picha za maonyesho. Kuandaa majarida na mabango (Poster). Kuandaa vijarida na Vipeperushi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani ake |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
16.0. Afisa Hesabu Daraja la Il - (NAFASI 02)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
16.1. SFA
Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha nne au Sita na Shahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali,
KAZI |
Kuandaa taarifa za hesabu |
||
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
||
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
||
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za zinazohusu malipo mbalimbali Kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli. Kushiriki kufan a usuluhisho wa hesabu za benki na |
||
nyingine zinazo husiana na maswala ya fedha Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazo pangiwa na mkuu wake wa kazi. |
|||
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Urnma.
17.0. Afisa Masoko Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
17.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne au cha sita na Shahada ya masomo ya huduma kwa wateja kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Kuitan aza Hos itali |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kuwapokea wateja na kuwaelekeza maeneo ya kupata huduma. Kupokea maoni na changamoto za wateja. Kushauri uongozi namna bora ya kuboresha huduma kwa wateja. Kuitangaza Taasisi kwenye vyombo/maeneo mbalimbali. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
18.0. Afisa Mipango Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
18.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne au cha sita na Shahada ya Mipango kutoka
Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Kuandaa mi an o a hos itali |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za mipango ya hospitali. Kuandaa bajeti ya hospitali. Kufanya usanifu miradi midogo ya hospitali. Kuandaa miradi mbalimbali ya hospitali. Kuandaa taarifa kwa kila robo, Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
19.0. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la Il - (NAFASI 05)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
19.1. SIFA
Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha nne au cha sita na stashahada ya kawaida katika fani ya utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo wa fani za afya, masijala, mahakama na ardhi.
KAZI |
Msaidizi wa Kumbukumbu |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kutafuta kumbukumbu /nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji. Kudhibiti upokeaji, uandikaji wa kumbukumbu na nyaraka. Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu na nyaraka katika reki, masijala /vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu. Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
20.0. Afisa Manunuzi Msaidizi Daraja la Il - (NAFASI 01)
KITIJO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne au cha sita na stashahada ya manunuzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Afisa Manunuzi Msaidizi Dara•a la Il |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya manunuzi mbalimbali Kuandaa taarifa ya kila robo Kuandaa mpango wa manunuzi Kuingiza mahitaji ya manunuzi katika mfumo wa manunuzi (NEST) Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
21.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne au cha sita na stashahada ya ustawi wa jamii kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
Afisa ustawi wa Jamii Msaidizi Dara-a la Il |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kupokea maombi ya misamaha na kuiratibu Kuandaa taarifa ya robo. Kuratibu na kufuatilia ulipaji wa madeni Kuwajengea uwezo ndugu namna ya kulipa deni la mgonjwa Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
22.0. Karani wa Data (Data Clerk) - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
22.1. SIFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya Kidato cha Nne au cha Sita na Stashahada katika mojawapo ya fani yoyote kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, uzoefu usio pungua miaka mitatu katika fani ya ukarani wa data.
KAZI |
Kuin iza taarifa za Wa on-wa katika Mifumo |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za kuingiza madai katika mifumo mbalimbali Kuandaa vibali mbalimbali vya vipimo Kuchakata mahesabu ya madai ya kila mwezi Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazj. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
23.0. Dereva Daraja la Il - (NAFASI 02)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
23.1. SIFA
Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne (iv) na leseni ya Daraja la E au Cl ya uendeshaji wa magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji wa magari (basic driving course) yanatolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye cheti cha majaribio ya Ufundi, watafikiriwa kwanza.
KAZI |
Dereva |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari. Kuwapelekea watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari (Log book) Kufanya usafi wa gari kila wakati Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
24.0. Mpishi - (NAFASI 01)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA•. Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
24.1. SFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne na astashahada/Stashahada ya fani ya upishi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI |
U ishi |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kufanya kazi zote za fani ya Upishi katika Hospitali Kuandaa mahitaji ya chakula cha wagonjwa Kufanya usafi maeneo ya kuandalia chakula na vyombo. Kuhudumia watumishi/wagonjwa kwa masuala ya chakula. Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
25.0. Mtunza Bustani - (NAFASI 02)
KITUO CHA KAZI: Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini
MASHARTI YAAJIRA: Kujitolea, Mkataba wa Mwaka 1
25.1. SIFA
Kuajiriwa wenye elimu ya darasa ta saba / kidato cha nne na uzoefu wa kutunza mazingira na bustani zaidi ya miaka miwili katika Hospitali.
KAZI |
Kutunza bustani |
MWAJIRI |
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini |
MUDA WA MAOMBI |
28/06/2024 - 14/07/2024 |
KAZI NA MAJUKUMU |
Kuandaa kitalu cha maua Kufanya usafi maeneo ya bustani pamoja na kumwagilia maua Na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
25.2. MSHAHARA NA POSHO
Malipo ya mshahara yatazingatia Mwongozo wa Afya wa Taifa wa kujitolea wa Julai, 2021 (National Health Workers Volunteering Guideline). Aidha posho nyingine zitalipwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma.
Waombaji wote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
ll. Waombaji wawasilishe barua ya maombi na nakala zifuatazo:
Cheti cha kuzaliwa.
Usajili (Full Registration) na Leseni hai kwa kada husika.
Vyeti vilivyotolewa na Bodi ya mitihani za nje ya Tanzania vya elimu ya kidato cha nne (CSE) au elimu ya kidato cha sita (ACSE) vinapaswa kuthibitishwa na Baraza la Mitihani (NECTA).
Maombi yawasilishwe kufikia au kabla ya tarehe 14.07.2024 saa tisa na nusu alasiri (1530HRS, kwa njia moja kati ya zifuatazo:
Mtandao kwa barua pepe szrhôafya.go.tz ii. Kwa mkono ifike katika Ofisi ya Masjala ya Wazi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini (Hakikisha unasaini katika kitabu baada kukabidhl). i i i . Kwa Posta kupitia Anuani ifuatayo: -
Mkurugenzi Mtendaji,
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini,
MTWARA.
Limetolewa na,
Dkt. Herbert G Masigati
MKURUGENZI MTENDAJI
MTWARA
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.