Vacancy title:
Waendesha mitambo ya kushindilia
Jobs at:
China Railway Seventh Group Co. LtdDeadline of this Job:
10th Augusts 2019
Summary
Date Posted: Friday, July 12, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Kampuni ya China Railway Seventh Group inayofanya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kuanzia Moronga mpaka Makete (km 53.5) inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kuomba kazi zifuatazo: Waendesha mitambo ya kushindilia 'Roller Operators' (NAFASI 2) .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe mtanzania mwenye umri wa miaka kati ya 18 mpaka 40 na uzoefu usiopungua miaka miwili (2) kwa waendesha mitambo na miaka mitano(5) kwa wasimamizi(foremen);
• Leseni sahihi ya udereva yenye daraja E kwa madereva na daraja F kwa Waendesha mitambo (Operators);
• Afya njema ya akili na mwili na historia ya tabia njema;
• Uwezo wa kuzungumza lugha ya kiingereza na kuwaongoza wafanyakazi katika eneo la kazi (kwa wasimamizi);
• Awe na cheti cha uhudumu (Certificate of Service) kutoka makampuni aliyowahi kufanya kazi.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na zitumwe kupitia email: crsgtan53.5km@gmail.com au wasiliana na Afisa Rasilimali Watu(HR) kwa kupitia namba +255 759 675 219pia unaweza kufika katika ofisi zetu zilizopo kijiji cha Tandala, wilaya ya Makete mkoani Njombe. N:B. Maombi yatumwe kabla ya tarehe 10 Agosti, 2019.
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.