Vacancy title:
3 AFISA Tabibu (Clinical Officers)
Jobs at:
Shinyanga Municipal Council
Deadline of this Job:
14th February 2019
Summary
Date Posted: 5th February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA MANISPAA SHINYANGA
SHIRIKA LA AGPAHI LIKISHIRIKIANA NA OFISI YA MKURUGENZI WA
MANISPAA YA SHINYANGA WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZIFUATAZO;
• AFISA TABIBU - CLINICAL OFFICERS (3)
• WAUGUZI - RN, EN (3)
3 AFISA Tabibu (Clinical Officers)
Sifa za mwombaji;
• Awe Mtanzania
• Awe na uwezo wakuongea kiingereza na Kiswahili 3. Awe amemaliza kidato cha nne na kuendelea
• Awe na stashahada kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
• Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35
• Awe na uzoefu wa kutoa huduma CTC na awe tayari kufanya kazi CTC/PMTCT.
• Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Manispaa ya Shinyanga.
{module 312}
Job application procedure
Kazi zote zinazotangazwa ni za mkataba.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anwani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P. 28,
SHINYANGA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/2/2019 saa 9.30 jioni Tarehe ya usaili mtajulishwa kwa njia ya simu.
** Weka namba yako ya simu katika barua yako.
Limetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa Shinyanga, tangazo hili linarudiwa baada ya lile la awali waombaji wake na wale walipatikana kutokidhi vigezo.
NAKALA:
Katibu Tawala (M),
SHINYANGA
S.L.P. 320,
SHINYANGA.
: Katibu Tawala (W)
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya,
S.L.P. 359,
SHINYANGA.
: Mbao zote za Matangazo.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.