3 sa Biashara daraja II Jobs at Halmashauri Ya Wilaya Ya Chemba - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2104 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
3 sa Biashara daraja II

 

Jobs at:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Chemba

Deadline of this Job:
15th April 2019  

Duty Station:
Dar es Salaam , Tanzania , East Africa , 00000 , TZ

Summary
Date Posted: 8th April 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full_Time , Currency: TZS , Value: 625000 , Minimum: 437500 , Maximum: 1875000 , Period: MONTH

 

JOB DETAILS:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Chemba (Barua zote zitumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji) 02/04/2019
Kumb. Na. CDC/LGA/A/5/5
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI (INTERNAL RECRUITMENT) Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Kupitia Mwongozo wa bajeti wa mwaka 2019/2020 kutoka kwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, umeelekeza waajiri kujaza nafasi wazi kwa kutumia rasilimali watu waliopo kwenye taasisi husika waliojiendeleza katika fani yenye upungufu na uhitaji.
kupitia tangazo hili, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji inapenda kuwatangazia watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba wenye sifa za kimuundo kutuma maombi ya kazi zilizoainishwa hapa chini.
3 sa Biashara daraja II - (ngazi ya mshahara TGS Di= 710,000).

Sifa za kuajiriwa/kubadilishwa muundo kwa waliopo kazini: Awe mwenye shahada / stashahada ya juu ya biashara waliojiimarisha (Major) katika fani ya uchumi/masoko/uendeshaji biashara au inayolingana nayo kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali.


Kazi za kufanya.
• kukusanya mapato ya leseni za biashara katika maeneo mbalimbali.
• Kusambaza taarifa za kibiashara kwa wafanyabiashara.
• Kutathmini mwenendo wa biashara kwa kuiangalia hali ya masoko katika nchi mbalimbali ambazo bidhaa zetu zinauzwa.
• Kukusanya mapato ya hoteli levy, nyumba za kulala wageni (guest Houses), na mapato mengine..

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
Maombi yapitishwe na msimamizi wa kituo cha kazi pamoja na mkuu wa idara yako na yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji
• Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, S.L.P. 830, Chemba.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/04/2019 saa 9:30 Alasiri.
• Waombaji watakaokidhi vigezo wataandikiwa barua ya moja kwa moja kuripoti ofisi ya Mkurugenzi tayari kwa kuanza kutekeleza majukumu mapya na wawe tayari kujigharamia kuhamia makao makuu ya Halmashauri.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma na ujuzi.
• Waombaji watakaokidhi vigezo wawe tayari kubadilishwa muundo wa utumishi na ngazi ya mshahara kulingana na Sera ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma (Entry point).
• Muombaji ambaye hataandikiwa barua ya wito, atambue kwamba hajakidhi vigezo au maombi yake yamechelewa.
• Awe ni mwajiriwa katika masharti ya kudumu katika Utumishi wa Umma.
MKURUGE ZI MTENDAJI WILAYA YA CHEMBA
Dkt. Semistatus 'H. Mashimba
MKURUGENZI MTENDAJI. HALMASHAURI YA WILAYA,
CHEMBA.

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th April 2019
Duty Station: Dar es Salaam , Tanzania
Posted: 08-04-2019
No of Jobs: 3
Start Publishing: 08-04-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 08-04-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.