4 Village Executives Grade III at Nanyumbu District Council

Vacancy title:
4 Village Executives Grade III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Nanyumbu District Council

Deadline of this Job:
23 September 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Nanyumbu , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, September 20, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Nanyumbu District Council is one of the nine Local Government Authorities in Mtwara Region. It was established in 2005 under the Local Government Act of 1982 and its administrative authority was conferred upon it by the Parliament of Tanzania.
The main objective of establishing the council was to give more powers to the people for their own development and get reliable social services closer to them as stipulated in the constitution of Tanzania.

The geographical position of Nànyumbu District Council lies between Latitude 120 and 100 South of the equator and between longitude 360 and 380 East of Greenwich.
The Council is bordered by Nachingwea district in Lindi region on the North, Tunduru district in Ruvuma Region on the west, Masasi district on the east and Mozambique country on the south.
Job Vacancies at the Nanyumbu District Council, Mtwara, Tanzania – September 2021, please read the full details below;-

Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Nanyumbu
Fax No 2510045
Baruapepe: info@nunyumbudc.go.tz
www.nanyumbudc.go.tz
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya
S.L.P.246
MASASI-MTWARA
Kumb.Na/NDC/T.20/10/VOLII/18

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu anapenda kuwatangazia waombaji wenye sifa nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III

Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III. Nafasi Nne (04)
Sifa kwa Mwombaji
• Awe na elimu ya kidato cha nne (iv) au sita (vi) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ cheti katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali

• Kazi Na Majukumu Ya Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III
• Afisa masuhuli na Mtendaji Mkuu wa serikali ya kijiji
• Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
• Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa Mipango ya maendeleo ya Kijiji
• Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa,umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
• Kiongozi wa wakuu na vitengo vya kitaalam katika kijiji
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za koji
• Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
• Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kiji

Mshahara
Kwakuzingatia waraka wa mishahara wa Serikali ngazi ya TGSB1 Tshs.390.000/kwa mwezi

Education Requirement: No Requirements

Job Experience: No Requirements

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
• Awe Mtanzania
• Awe na umri wa kuanzia miaka 18 hadi 45
• Waombaji ambao ni watumishi wa Umma na wanasifa za kuingilia wapitishe barua zao za maombi kwa waajiri wao.
• Nafasi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatuwakuaminika pamoja na namba zao za simu.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma na mafunzo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali
i) Cheti cha kuhitimu kidato cha iv au
ii) Cheti cha mafunzo ujuzi NTA-level 5
iii) Cheti cha kuzaliwa
iv) Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni na iandikwe jina nyuma
• "Testimorials" "profisional Result" "Statement pf Result" Hati za matokeo ya kidato cha nne na cha Sita (Form iv and Form vi Result slip) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waambatishena nakala ya kitambulisho cha Taifa au Namba ya kitambulisho cha NIDA kwa wasio na kitambulisho.
• Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA NACTE na TCU)
• Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kugushi zitapelekea wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria
• Waombaji watakaokidhi sifa ndio watakaoitwa kwenye usahili
• Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na watumwa kwa njia ya posta au kuwasilishwa moja kwa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Sehemu ya masijala ya wazi kwa anuani ifuatayo:

Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L. P. 246,
Nanyumbu.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 23 Septemba, 2021 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri. Tangazo hili linapatikana pia kwenye tovuti ya Halmashauri www.nanyumbudc.go.tz


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 23 September 2021
Duty Station: Nanyumbu
Posted: 20-09-2021
No of Jobs: 4
Start Publishing: 20-09-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.