Vacancy title:
5 Chemistry & Biology (CB) teachers
Jobs at:
Management Of Mount Chanza Secondary SchoolDeadline of this Job:
06 January 2021
Summary
Date Posted: Wednesday, December 30, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
TANGAZO LA KAZI YA UALIMU.
Uongozi wa shule ya sekondari Mount Chanza iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoa wa Kigoma unatangaza nafasi za ajira kwa walimu wa masomo mbali mbali. .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na shahada au stashahada ya ualimu
• Awe amesomea katika chuo kinachotambulika na serikali.
• Awe amesomea tahasusi zilizooneshwa hapo juu kama somo la kufundishia katika masomo yake ya chuo.
• Awe na uzoefu walau wa kufundisha na kufaulisha vizuri wanafunzi.
• Awe na maadili ya kiualimu na kufuata kanuni zote za utumishi wa umma.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Education Experience: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
Masharti ya mwombaji
• Mwombaji awe raia wa Tanzania
• Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea
• Mwombaji atajigharamikia huduma za nauli, chakula na malazi siku ya usaili.
• Mwombaji aje na nakala au vyeti halisi vya taaluma yake siku ya usaili.
• Usaili utaanza saa 2:00 asubuhi ya tarehe 08/01/2021 siku ya Ijumaa katika shule ya Sekondari Mount Chanza.
Maombi yatumwe kwa:
MENEJA WA SHULE,
SHULE YA SEKONDARI MOUNT CHANZA,
S.L.P 62.
KIBONDO.
Mwisho wa kutuma maombi ni Jumatano tarehe 06/01/2021 na mtu anaweza kuja na
maombi yake siku hio hio ya usaili.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Meneja wa shule: 0753-649 063
Meneja msaidizi: - 0755- 065 687
Mkuu wa shule: 0756- 358 004
Makamo mkuu wa shule : 0743- 969 456
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.