5 Mtendaji wa Kijiji Daraja III Job at Mufindi District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1439 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
5 Mtendaji wa Kijiji Daraja III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Mufindi District Council

Deadline of this Job:
30 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, November 24, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi anawatangazia Watanzania wenye sifa za kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi za Mtendaji wa Kijiji kwa masharti ya kudumu.
1. Mtendaji wa Kijiji Daraja III – TGS B (NAFASI – 05) .

Kazi za kufanya:
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao
• Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji
• Katibu wa Mkutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi
• katika kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, Umaskini na kuongeza uzalishaji Mali
• Kutafsiri na kusimamia Sera, sheria na taratibu
• Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu katika Kijiji
• Kupokea na kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
• Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata


Job Skills: Not Specified


Sifa za Mwombaji:
• Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV au sita (VI)
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI:
• Mwombaji awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
• Maombi yote yaambatishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, cheti cha Kidato cha Nne na cheti cha kuzaliwa.
• Maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika, majina matatu ya wadhamini na picha mbili (Passport Size) za hivi karibuni.
• Vyeti vyote vya Taaluma, kidato cha Nne na cheti cha kuzaliwa lazima vithibitishwe na Hakimu/Wakili anayetambulika na Serikali.
• Aidha, uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za Kisheria na Mamlaka zinazohusika.
• Watumishi waliopunguzwa kazi/kufukuzwa kazi Serikalini hawashauriwi kuomba.
• Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza.
• Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu maombi yake hayatashughulikiwa.
Barua zote zitumwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
S.L.P. 223,
MAFINGA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/11/2020 Saa 9.30 alasiri
Netho N. Ndilito
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
MUFINDI
Nakala: Mbao za Matangazo


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 24-11-2020
No of Jobs: 5
Start Publishing: 24-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 24-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.