Vacancy title:
6 Afisa Rasilimali Watu
Jobs at:
Civil Service CommissionDeadline of this Job:
19th July 2019
Summary
Date Posted: Wednesday, July 17, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Utumishi wa Umma kama ifuatavyo: - Afisa Rasilimali Watu Daraja la II “Nafasi 6” .
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala wa Umma au Rasilimali Watu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo: -
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo: -
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
• Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
• Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
• N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake hayatazingatiwa.
• Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 19 Julai, 2019 wakati wa saa za kazi.
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.