6 Hydrologist II job at Ministry of Water and Irrigation
Website :
972 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
6 Hydrologist II

[ Type: FULL TIME , Industry: Nonprofit, and NGO , Category: Management ]

Jobs at:

Ministry of Water and Irrigation

Deadline of this Job:
07 April 2022  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, March 25, 2022 , Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Ministry of Water and Irrigation
Ministry of Water and Irrigation jobs in Tanzania

JOB DETAILS:
Duties and Responsibilities
• kusimamia ujenzi na usimamizi wa ukarabati wa vituo vya hali ya hewa, vituo vya upimaji uwingi wa maji kwenye mitoni mabwawa na maziwa (discharge measurements);
• Uchukuaji wa sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito (sediment sampling) na kuzitafsiri;
• kufanya uhakiki wa takwimu (validation activities) wakati wa kuchakata takwimu.
• kuratibu ukusanyaji wa takwimu/taarifa zote za kihaidrolojia kutoka madakio na vidakio vya maji (catchments/sub catchments) na kuhakikisha takwimu zote kutoka kila kituo zinatumwa makao makuu ya bonde kila mwezi na tarehe 15 ya kila mwezi unaofuata zinawasilishwa wizarani;
• Kufanya uchunguzi wa awali wa shughuli zinazohusu vituo vya haidrolojia;
• Kutengeneza ramani za vidaka maji katika mabonde ya maji kwa kutumia njia ya geographical information system;
• Kubadili takwimu za kina (water leves) cha maji mtoni kuwa wingi wa maji ya mito (discharge);
• Kufanya ulinganifu wa mvua inayonyesha na mtiririko wa maji ya mvua (runoff) kwa kila siku na kwa kila siku kumi(10);
• Kuchakata takwimu na kuona mpishano wa muda mrefu (shift behaviooron long term basis kwa kutumia duble mass curv);
• Kuhakiki utunzaji mzuri wa kanzi data ya takwimu kulingana na miongozo na usimamizi wa rasilimali maji;
• Kukagua vifaa vya kazi za kihaidrolojia ofisini, stoo na katika vituo vya kihaidrolojia.
• Kushiriki kuchukua, kuchambua na kutafsiri sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito;
• Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za maji kutoka vituo vya hali ya hewa na vya upimaji wa uwingi wa maji kwenye mito, mabwawa na maziwa;
• Kutayarisha na kurekebisha taarifa za kihaidrolojia zinazohitajika mara kwa mara katika ofisi za takwimu ya Taifa (NBS);
• Kushiriki katika kazi za usalama wa mabwawa;
• Kushiriki kwenye kubainisha maeneo yanayoathiriwa na mafuriko;
• Kushiriki katika kutayarisha kielelezo cha mtiririko wa maji (rating curve equitation); na
• kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualification and Experience
• Kuajiriwa wenye Shahada ya Haidrilojia au Uhandisi wa Rasilimali za Maji kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Work Hours: 8


Experience in Months: 12

Level of Education:
Bachelor Degree

Job application procedure
To apply follow this link http://portal.ajira.go.tz/index.php/user/auth/login/3985 

All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Technician jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 05 August 2022
Duty Station: Dar es Salaam
Posted: 25-03-2022
No of Jobs: 6
Start Publishing: 04-08-2022
Stop Publishing (Put date of 2030): 25-03-2066
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.