7 Drivers II Job at Dar es salaam City Council (DCC) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1676 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
7 Drivers II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Transportation & Logistics ]

 

Jobs at:

Dar es salaam City Council (DCC)

Deadline of this Job:
28 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, February 17, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (MKATABA) KWA KADA YA UDEREVA NAFASI SABA (7)
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wale wenye sifa ya udereva nafasi saba (7). Kazi hii itakuwa ni ya mkataba wa miezi mitatu na mshahara utalipwa kwa mujibu wa Kisahihisho "C" cha Waraka wa Maendeleo ya Utumishi Na. 20 wa Mwaka 2002 Nyongeza VI. .

KAZI ZA KUFANYA
• Kukagua gari kabla na baada ya kuanza safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
• Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
• Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
• Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
• Kujaza na kutunza taarifa zote katika daftari la safari (Log Book)
• Kufanya usafi wa gari na
• Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI:
Dereva Daraja la II - Nafasi saba (7), Ngazi ya Mshahara TGS B ambayo ni sawa na Sh. 390,000.00 kwa mwezi.
• Mwombaji awe na Elimu ya Kidato cha Nne (Form IV)
• Mwombaji awe na Leseni ya Daraja la E/Ci ya uendeshaji wa magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali
• Mwombaji awe amehudhuria mafunzo ya Msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Mwombaji mwenye Cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II atafikiriwa kwanza


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA:
• Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi 45. Waombaji wote waambatishe nakala za vyeti vya Taaluma, Kidato cha Nne, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili (2) za "Passport Size" za hivi karibuni na iandikwe majina yote ya mwombaji kwa nyuma.
• Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na namba za simu za kuaminika na majina matatu ya wadhamini.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Februari, 2020 MAOMBI YOTE YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO:
Mkurugenzi wa Jiji,
Halmashauri ya Jiji, Ukumbi wa Jiji,
S.L.P. 9084, 1 - Barabara ya Morogoro,
11882 - DAR ES SALAAM.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 28th February 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 17-02-2020
No of Jobs: 7
Start Publishing: 17-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.