Vacancy title:
9 Engineer II (Electricity)
Jobs at:
Office of the President Regional Administration and Local Government (TAMISEMI)Deadline of this Job:
29 October 2021
Summary
Date Posted: Sunday, October 17, 2021 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Post: Mhandisi II (Umeme) - 9 Post
Post Category(S): Engineering and Construction
Employer: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Application Timeline: 2021-10-16 to 2021-10-29
Duties and Responsibilities
i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomuhusu ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;
iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi;
iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Qualification and Experience
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme (Bachelor of Science in Electrical Engineering) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration: TGS E
Job Experience: No Requirements
Work Hours: 8
Level of Education: Bachelor Degree
{module 312}
Job application procedure
Please click here to apply.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.