Accountant Job at Tanzania Meteorological Authority (TMA) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1590 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Accountant

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Accounting & Finance ]

Jobs at:

Tanzania Meteorological Authority (TMA)

Deadline of this Job:
27 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dodoma , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, August 25, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TMA SACCOS inapenda kuwatangazia Umma kuwa kwa sasa ina jaza nafasi za kazi zilizopo wazi kama ifuatavyo:
Mhasibu .

Kazi na majukumu yake yatakuwa kama ifuatavyo:
• Kuhakikisha kuwa fedha yote iliyopokelewa imekatiwa risiti.
• Kuandika vitabu vya hesabu na kutayarisha hesabu za kila mwezi.
• Kutayarisha taarifaya hesabu ya mapato na matumizi ya kila mwaka.
• Kusimamia malipo ya kila siku na kuona kuwa yamekatiwa hati ya malipo na malipo yamefanyika kwa wahusika.
• Kufanya malinganisho ya fedha na Benki
• Kutunza regista ya mali za chama na kuhakikisha kuwa mali zote za chama zimeingizwa katika kitabu hicho.
• Kufanya malinganisho ya mara kwa mara ya bajeti na hali halisi ili kuona kuwa matumizi hayavuki bajeti.
• Kuweka kumbukumbu sahihi za wadai na wadaiwa wa chama. • Kufanya maingizo kila siku katika hesabu za hisa, akiba amana na mikopo ya Wanachama.
• Kufunga hesabu za mwaka, kutayarisha hesabu ya mapato na mizania
• Kupeleka hesabu za chama kwa ukaguzi katika muda unaokubalika.


Kazi / Majukumu
Atakua mkuu wa idara ya Uhasibu.
Uwajibikaji: Atawajibika moja kwa Meneja wa SACCOS.


SIFA.
• Mwenye Shahada au Stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo Kikuu au Chuo chenye kutoa Stashahada ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA).
• Awe na uzoefu wa kazi za Ushirika kwa muda usiopungua miaka mitatu.
• Awe na uwezo wa kutumia kumputa.
• Awe na uwezo wa kuziandaa hesabu za chama kwa Bodi ya Uongozi, Wanachama na Wadau wengine
• UMRI: Miaka isiyozidi 45.
• MKATABA: Utakuwa wa kipindi cha miaka mitatu mitatu.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Maombi yote yatumwe kwa Mwenyekiti wa chama, TMA SACCOS, P.O.BOX 4278, DODOMA au yatumwe kwa barua pepe: saccosstma@gmail.com 
Mwisho wa kupokea maombi: Ni tarehe 27/08/2020 saa 10:00 Jioni.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Accounting/ Finance jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 27 August 2020
Duty Station: Dar Es Salaam
Posted: 25-08-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 25-08-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 25-08-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.