Afisa Manunuzi Daraja la II Job at Government Service Commission - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2351 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Afisa Manunuzi Daraja la II

Jobs at:
Government Service Commission

Deadline of this Job:
9th November 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 6th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kama ifuatavyo:-

IDARA YA UJENZI NA UTUNZAJI WA BARABARA

Afisa Manunuzi Daraja la II

Sifa za Waombaji:

  • Awe ni Mzanzibari.
  • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Manunuzi na Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Job application procedure

Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-

KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-

  • Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
  • Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
  • Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
  • Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
  • Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
  • N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake hayatazingatiwa.
  • Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 09 Novemba, 2018 wakati wa saa za kazi.
Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 9th November 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 06-11-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 06-11-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 06-11-2065
Apply Now

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.