Afisa Masoko Job at Chawakim Cooperative Society Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1779 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Afisa Masoko

[ Type: FULL TIME , Industry: Financial Services , Category: Admin & Office ]

 

Jobs at:

Chawakim Cooperative Society Limited

Deadline of this Job:
02 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, February 27, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Job Summary: Tunatafuta mtu bora anayeweza kumudu nafasi makini ya AFISA MASOKO .

MAJUKUMU YA KAZI
• Atasimamia shughuli zote za masoko ikiwa pamoja na ukusanyaji, uuzaji na usambasaji wa maziwa
• Atasimamia utafutaji wa masoko kwa bidhaa zote (maziwa yote yaliyochakatwa na ambayo hayajachakatwa na bidhaa nyingine zitokanazo na malighafi ya maziwa).
• Atakuwa na wajibu wa kufanya utafiti wa soko ili kubaini mahitaji ya wateja na kuishauri Bodi na menejimenti ya chama juu ya ubora, ufungashaji na bei;
• Atakuwa kiungo kati ya wateja, idara ya uzalishaji na uongozi.
• Atapokea ushauri, maoni na malalamiko kutoka kwa wateja.
• Atawajibika kwa Meneja na atatekeleza majukumu mengine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.


Job Skills: Not Specified


Sifa za Afisa Masoko:
• Awe na umri wa miaka 25 na kuendelea;
• Awe na angalau diploma ya masoko, ushirika au biashara;
• Awe na ujuzi wa kutumia Computer;
• Awe na uzoefu wa miaka 3
• Awe na sifa ya uadilifu;
• Awe hajawahi kufukuzwa kazi kwa tuhuma za kukosa uaminifu.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA NAFASI ZOTE ZA KAZI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika, Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainia.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificate from respective Board)
• “Testmonials” “Provisional Results”, “Statement of results” hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE)
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapa chini

MWENYEKITI WA BODI
CHAWAKIM COOPERATIVE SOCIETY LTD
S.L.P 30871,
KIBAHA TANZANIA.
E mail: chawakim@yahoo.com 
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02 March 2020 saa sita usiku.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 2nd March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 27-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 27-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 27-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.