Vacancy title:
Afisa Mifugo
Jobs at:
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa chakula cha kuku
Deadline of this Job:
28th February 2019
Summary
Date Posted: 22nd February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa chakula cha kuku iliyopo Dar es salaam inawatangazia nafasi za kazi kama ifuatavyo:
Afisa Mifugo
Sifa za mwombaji:
• Awe na elimu kuanzia diploma
• Awe na ushawishi kwa wateja.
• Ajue kuendesha piki piki
• Awe na lesseni ya udereva.
{module 312}
Job application procedureMaombi yatumwe kwa barua pepe,
mtwevereuben@rocketmail.com
Au ipelekwe kwa mkono kwenye ofisi zetu zilizopo Ubungo maeneo ya kituo cha Hostel.
Tafadhali ambatanishisha vyeti vya shule na Cv yako.
Mwisho wa kutuma maombi ni siku tano kutokea tangazo lilipotoka. Kwa maelezo zaidi waweza piga namba +255 713 362 289
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.