Vacancy title:
Afisa Nyuki Daraja II
Jobs at:
Halmashauri Ya Wilaya Ya SikongeDeadline of this Job:
14th June 2019
Summary
Date Posted: Thursday, June 06, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge
Tangazo La Kazi.
Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge Anawatangazia Nafasi Za Kazi Zifuatazo Watanzania Wenye Sifa Zilizotajwa Hapa Chini; Kwa Kila Kazi. Waombeji Wawasilishe Barua Ya Maombi Kwa Kutumia Anuani Iliyopo Chini Ikiambatanishwa Na Sifa Binafsi (Cv) Pamoja Na Nakala Za Vyeti Vya Elimu Na Taaluma Aliyonayo. Mwisho Wa Kuwasilisha Maombi Nia Tarehe 14/06/2019 Saa 9.30 Mchana .
SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe na Shahada katika fani ya ufugaji nyuki
• Awe na Sayansi ya Elimu ya mimea,
• Awe na Elimu ya Wadudu
• Awe na Elimu ya Wanyama kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU
• Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki
• Kutangaza sera, sheria za ufugaji nyuki
• Kufundisha masomo ya fani ya ufugaji nyuki
• Kukusanya takwimu za rasilimati na ufugaji nyuki
• Kupanga na kupima ubora wa mazao ya nyuki
AINA YA AJIRA: Ajira ya Mkataba (Contract)
MSHAHARA: Tsh. 500,000/= kwa mwezi kulingana na viwango vilivyoidhinishwa na Baraza la Madiwani
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Baraza la Madiwani Barua za Maombi zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge,
S.L.P 70, SIKONGE
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.