Afisa Uzajishaji Job at Chawakim Cooperative Society Ltd - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1808 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Afisa Uzajishaji

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Management ]

 

Jobs at:

Chawakim Cooperative Society Ltd

Deadline of this Job:
10 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chawakim Cooperative Society Ltd .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kusimamia shughuli zote za idara ya Uzalishaji wa bidhaa za maziwa.
• Kuhakikisha kuwa anapokea maziwa yenye ubora kutoka kwa wafugaji.
• Kuhakikisha kuwa bidhaa anayoizalisha inakuwa na ubora kulingana na viwango vya TBS
• Kuandaa mpango wa uzalishaji kulingana na mahitaji ya soko
• Kuhakikisha rasilimali na malighafi zinatumika ipasavyo kwa kuzingatia Good Manufacturing Practice (GMP) na Good Hygienic Practice (GHP)
• Kutimiza majukumu mengine atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi
• Kuweka kumbukumbu za uzalishaji siku hadi siku
• Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wafugaji ili kuweza kupata maziwa yenye ubora.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na umri wa miaka 25 na kuendelea
• Awe na Shahada ya Sayansi ya Chakula na Teknologia (Bachelor of Science in Food Science and Technology) au Shahada ya Sayansi ya Lishe ya Binadamu (Bachelor of Science in Human Nutrition) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
• Awe na uzoefu katika nafasi aliyoomba.
• Awe na ujuzi wa kutumia computer
• Awe mbunifu (creative) na mwenye bidii katika kazi bila kusimamiwa.
• Awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA NAFASI YA KAZI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika, Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainia.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificate from respective Board)
• “Testmonials” “Provisional Results”, “Statement of results” hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE)
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapa chini
• Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10th February 2020
MWENYEKITI WA BODI
CHAWAKIM COOPERATIVE SOCIETY LTD
S.L.P 30871,
KIBAHA, TANZANIA.
E mail: chawakim@yahoo.com


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Corporate / Organisation Officer jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th February 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 28-01-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 28-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 29-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.