Vacancy title:
Catering
Jobs at:
Diocese of Meru (KKKT DME)Deadline of this Job:
24 February 2020
Summary
Date Posted: Monday, February 17, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
KKKT DAYOSISI YA MERU TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. KKKT Dayosisi ya Meru inapenda kutangaza wote kwa ajili ya Vituo vyake kama ifuatavyo: .
Catering-Upishi Kituo -Ailanga Seminar
Job Skills: Not Specified
Sifa za mwombaji
• Awe na ujuzi wa upishi kwa chakula cha watu wengi
• Awe na umri wa mika 22-40
• Awe tayari kufanya kazi katika mazingira magumu
• Awe tayari kufanya kazi mchana na usiku
• Awe tayari kuanza kazi mara moja
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
Barua ya maombi ikiwa imepitishwa na Mchungaji Kiongozi wa Usharika na kuwa na viambatanisho vifuatavyo: Cheti cha kuzaliwa, vyeti vya elimu. wasifu (CVna barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa, itumwe kwa Afisa Tawala na Utumishi, KKKT Dayosisi ya Meru, S.L.P 96 Usa River au kwa barua pepe hrdme@elctdme.or.tz .
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 24/02/2020 saa 10:00 jioni.
Imetolewa na
CANISA LAKINLARI , KANZANIA
DA151 YA NERU S.I.P. 45 - Simur 2553656
USA RIVER
Godwin Nderingo
AFISA TAWALA NA UTUMISHI
KKKT DAYOSISI YA MERU
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.