Vacancy title:
Dereva
Jobs at:
Neoplus International Company
Deadline of this Job:
28th March 2019
Summary
Date Posted: 28th March 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full_Time , Currency: TZS , Value: 625000 , Minimum: 437500 , Maximum: 1875000 , Period: MONTH
JOB DETAILS:
Neoplus ni kampuni iliyo shajiliwa na kufanya shughuli zake jijini Dar es salaam, inatafuta Dereva ambaye anajua kuendesha gari pamoja na Bajaji. Neoplus International Company Limited, inatafuta madereva wanajua kuendesha gari pamoja na Bajaji..
NAFASI: DEREVA GARI PAMOJA NA BAJAJI. VIGEZO VYA KAZI
• Ajue Kuendesha gari manual, pamoja na Bajaji
• Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
• Awe na vyeti vya mafunzo ya udereva
• MIAKA 18 na kuendelea.
• Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya dar es salaam.
{module 312}
Job application procedure
Note: Lazima ajue kuendesha gari pamoja na Bajaji.. Wasilisha maombi kwenye emailneoplusinternational@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi ni 28/03/2019 : saa 9:00 alasiri!
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.