Vacancy title:
Driver II
Jobs at:
Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam
Deadline of this Job:
10th December 2018
Duty Station:
Tanzania
Summary
Date Posted: 29th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time
JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo:
Dereva II (Driver II)
NGAZI YA MSHAHARA TGS B:
SIFA ZA MWOMBAJI:
Kuajiriwa mwenye Cheti cha kidato cha nne (Form IV) na leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mrnoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.Waombaji wenye cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la ll watafikiriwa kwanza.
MAJUKUMU YA KAZI:
MASHARTI YA JUMLA:
Job application procedure
MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi wa Jiji.
Halmashauri ya Jiji,
“Ukumbi wa Jiji"
S.L.P. 9084,
1 Barabara ya Morogoro.
11882 DAR ES SALAAM
Waombaji waliokidhi sifa wataarifiwa tarehe ya kufanya usaili kwa njia ya maandishi kupitia magazeti valiyotumika kutangaza nafasi hizi pamoja na simu za mikononi au Tovuti: www.dcc.go.tz
Sipora J.Liana
MKURUGENZIWAJIJI,
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.