English Teachers Job at Msingi Hope Girls And Boys School - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1949 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
English Teachers

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Teachers & Education ]

 

Jobs at:

Msingi Hope Girls And Boys School

Deadline of this Job:
15 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Shule inatangaza nafasi za ualimu kwa mwaka 2020 ambapo udahili Utaanza kufanyika mwezi wa January 2020. Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: .

SIFA ZA JUMLA
Waombaji wa nafasi tajwa hapo juu wawe na sifa za jumla zifuatazo:
• Awe ni Mtanzania;
Awe amehitimu chuo kinachotambulika na Serikali;
• Asiwe na umri wa zaidi ya Miaka thelathini na tano (35) wakati wa kutuma maombi haya;
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 15 January, 2020..


Job Skills: Not Specified


WALIMU WATAKAOAJIRIWA SHULE ZA MSINGI
• Mwalimu Daraja la IIIA - mwenye Astashahada (Cheti) ya Ualimu;
• Mwalimu Daraja la IIIB - mwenye Stashahada (Diploma ya Ualimu katika masomo ya English, Civics, Historia, Jiografia na Kiswahili .
Mwalimu Daraja la IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu kwa masomo ya English, Civics, General Studies, History, Geography & Kiswahili..


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MWISHO Maombi yote yawasilishwe kwa Ofisi ya Meneja wa Shule ya Awali na Msingi
HOPE GIRLS & BOYS SCHOOL
P.O. Box 12283 | Arusha, Tanzania
Email: hopegirlsandboysschool@gmail.com 
Telephone: +255 689 554 440


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th January, 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 07-01-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 07-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 08-01-2065
Apply Now

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.