Vacancy title:
Katibu Mahsusi III
Jobs at:
BukobaDeadline of this Job:
04 March 2020
Summary
Date Posted: Monday, February 24, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Unapojibu tafadhali Taja: Kumb.Na.KGR/BDC/S.2/28/V/71
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo: .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
SIFA Awe na elimu ya kidato cha IV au VI Awe na Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya tatu Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na kiingereza Maneno 80 kwa dakika moja. Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali, kwa Programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher Awe na umri kati ya miaka 18 - 45 Awe ni raia wa Tanzania.
MSHAHARA Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali, yaani TGS B kwa mwezi.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MAELEZO MUHIMU YA KUZINGATIA
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono.
Maombi yaambatane na vivuli vya vyeti (photocopies).
Barua ziambatane na picha moja ya passport size.
Mwombaji aambatishe CV na anwani ya mawasiliano kama Simu za mkononi, Email, Faksi nk.
Wale watakaoitwa kwenye usaili, watajigharamia usafiri na malazi.
Tarehe ya mwisho kupokea maombi ya kazi ni tarehe 04/03/2020.
Barua za maombi zitumwe kwa anwani hii:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 491, BUKOBA.
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA BUKOBA
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.